Mungu na Shetani: Nani kaua zaidi?

Je na wale wanaojilipua mabomu kwa jina la Mungu wao?
Hao pia wanaongezeka kwenye list ya mauaji yanayosababishwa na Mungu.
Laiti concept ya Mungu ingelikuwa tofauti na bora, wasingeua.

Sasa Mungu mwenyewe anaua, watu wake hawana sababu ya kutokuua.
 
Wew ni mfugo tu mbele za Mungu huna umuhimu wowote kama ufati amri zake atakuchinja tu....

We ufunge kuku alafu wakuletee zarau mara wanatoroka mara wanapigana lazima utawachinja na utaacha wale wastarabu........
Mnaomuamini ndiyo mifugo. Watunzi wa bible wanawaita kondoo nanyi mmekubaliana na hali.
Mungu wenu ni character muuaji na psychopath.
 
Jamaa analalamika kwa tunda moja yeye ndiye mbaya kuliko aliyeuwa mamilioni.
Yaani kwenye kitabu kinachoitwa Cha mungu, shetani kaua watu 10 tu, tena kwa ruhusa ya mungu.

Lakini hawa waamini hawataki kuisikia ukweli kwamba mungu ni muuaji.
 
Hakimu anapopitisha hukumu ya kifo yule hakimu anakua ni muuji ???
Mfano wako hauna uhalisia. Mungu hayupo kwenye nafasi ya hakimu.
Maandiko hapo juu yanaonesha waziwazi kwamba mungu ndiyo anawaua watu kwa kutumia moto, maji na wanyama.
Si kama anahukumu tu kisha aje mwingine ndiye aue kama wafanyavyo mahakimu.
 
Mungu na shetani waliwahi kukubaliana kujaribu muumini, sikumbuki Ni kifungu gan
Kitabu cha Ayubu hicho mkuu.
Mungu alikuwa amekaa anatazama Shetani akiua watoto 10 wa Ayubu bila kosa lolote.
 
Mpaka sasa mtoa mada anaongoza tatu bila, ngoja tuendelee kuona mtanange unavyoendelea kuwa.
 
Ni Mungu, ile gharika haikuwa mchezo. Ningekuwa nuhu, kwa kuwa kila kiumbe ni wawili tu, ningeuwa vile viumbe waharibifu kama mbu, nyoka, na baadhi ya wanyama wakali.
 
Kaua aliowaumba,ana haki za kufanya atakalo.muhoji wewe mbona kaua wengi?sa si yeye ndo kaua wengi yeye ndo umuulize sasa
 
Wavuta bangi wamezidi JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…