Wewe hata "TOZO" huzijui, ndiyo maana hujui unacho andika humu.Hakuna Mungu wa hivyo. Mungu aliyepo ni yule tu ambaye unamuomba akupe ridhiki wewe. Yule wa kutaka mtu mwingine aharibikiwe ni Shetani tu.
Tanzania haiwezi kuharibikiwa kwa maombi ya mtu ambaye hajishughulishi anataka aletewe tu. Wewe mtoa mada tafuta shughuli ya ki-uchumi na ifanye acha ujinga