Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hivi mtu hawezi kuwa Muislamu safi bila ya kuitwa Hassan, Abdallah au Amour?
Hivi kuwa Mkristo kuna uhusiano gani na mtu kuitwa John, Julius au stephano?
Au Mungu wa wakristo na waislamu hapendi majina ya kiafrika hivyo akalazimisha kuwa ni lazima tutumie majina ya mataifa mengine?
Siku hizi hata ndugu zangu wanyakyusa yale majina ya kina Atufigwegwe hawayataki tena wameanza kujiita kina Lucas au Hanzurun.