Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
usichokielewa labda hata hayo unayoyaita majina ya kinyakyusa ''Atufigwegwe''' asili yake ni Christianity pia, ni Christians (protestants) ndiyo walioamua Waafrika waanze kutumia majina ya ''kiafrika '' kwenye ubatizo wakati RC bado (miaka ya zamani atleast sijui leo hii) walikuwa hawaruhusu, na ndiyo maana watu wengi wa Mikoa ya iliyobarikiwa ya Nyanda za juu kusini na hata klm wana majina ya kiafrika hata kama wamebatizwa, pia kuna majina kama Neema, Tumaini, Faraja n.k. yote Christian.
Christians walileta utaratibu wa haya majina wanayayoyatumia leo hii huko kusini ambayo wewe unayaita ya kiafrika, hivyo thanks to Christianity pia kuna majina ya kiafrika officially.
kuna mambo mengi sana mnayaona ni ya kawaida leo hii lkn hamjui kwamba asili yake ni Christianity, mfano mdogo tu jina la ubini au jina la familia ambapo ni kawaida leo hii kila mtu hata muslims wana jina la ubini kabla ya Christianity hakukuwa na kitu kama hicho, hakukua na utaratibu wa jina la kupewa na la ukoo kama ilivyo kawaida leo hii watu walikuwa tu na majina jina moja basi, hakukua na family names hivyo vizazi vilipotea.
kama mngejua mchango wa Christianity hapa tanzagiza ni wazi kila mngeacha kejeli na kila siku mngemshukuru Mungu kwa ujio wa Wamishionari hapa tanzagiza, kuna mengi sana mengine hata hamtambui kama yaliletwa na Christianity leo hii yanatusaidia sana kuanzia chakula, kilimo (cha kisasa), useremala, elimu, utaratibu hata ya kwenda kazini (kufanya kazi ofisini), kuwa na mpangilio wa maisha ulio bora mfano ndoa badala ya poligamy nk ...