Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Pale katikati Kuna John na Aidan..Kwani Palamagamba Kabudi siyo mkristo?
Sasa hivi nyie watani kama sio jina la mwisho mtu anaweza kufikiri mwenye jina hili ni mmarekani. Mkizaa watoto mnawaita Clinton, Amaris, yaani siku mkija kuacha Masawe na Mushi mtakuwa mmezika identity yenu kabisa.Jasti imagini mtu anaitwa mashaka masumbuko bwashee 🤔
Masawe ,mushi haziwez kufa bwashee 😅😅 umeotea vipi ukoo wangu hapo?🤣Sasa hivi nyie watani kama sio jina la mwisho mtu anaweza kufikiri mwenye jina hili ni mmarekani. Mkizaa watoto mnawaita Clinton, Amaris, yaani siku mkija kuacha Masawe na Mushi mtakuwa mmezika identity yenu kabisa.
Sio tu ukoo wako mangi, hadi jina lako nalifahamu bwashee🤣Masawe ,mushi haziwez kufa bwashee 😅😅 umeotea vipi ukoo wangu hapo?🤣
Ujinga kwa kweli...Ni ujinga tu mkuu
Sio mbaya lakini, hakuna shida ukinifahamu .Sio tu ukoo wako mangi, hadi jina lako nalifahamu bwashee🤣
Mbona Kuna mchezaji Chelsea alikuwa anaitwa HAZARDUjinga umetujaaa sana eti majina yetu yana laana na jitu linakaa lina amini😴
Kina adriz inajiita Al thaniHivi mtu hawezi kuwa Muislamu safi bila ya kuitwa Hassan, Abdallah au Amour?
Hivi kuwa Mkristo kuna uhusiano gani na mtu kuitwa John, Julius au stephano?
Au Mungu wa wakristo na waislamu hapendi majina ya kiafrika hivyo akalazimisha kuwa ni lazima tutumie majina ya mataifa mengine?
Siku hizi hata ndugu zangu wanyakyusa yale majina ya kina Atufigwegwe hawayataki tena wameanza kujiita kina Lucas au Hanzurun.
Lakini jina lake la kati Aidan.Kwani Palamagamba Kabudi siyo mkristo?
Hazard kwa kifaransa ni bahatiMbona Kuna mchezaji Chelsea alikuwa anaitwa HAZARD
Unaelewa maana ya Hazard ?