Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 37,333 Reaction score 50,241 Feb 21, 2026 #41 min -me said: Jasti imagini mtu anaitwa mashaka masumbuko bwashee 🤔 Click to expand... Au anaitwa Tabu,Shida, Mateso,Nuksi. Unaambiwa hayo ni majina ya asili hivyo jivunie.
min -me said: Jasti imagini mtu anaitwa mashaka masumbuko bwashee 🤔 Click to expand... Au anaitwa Tabu,Shida, Mateso,Nuksi. Unaambiwa hayo ni majina ya asili hivyo jivunie.
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,982 Reaction score 51,157 Feb 21, 2026 Thread starter #42 Proved said: Au anaitwa Tabu,Shida, Mateso,Nuksi. Unaambiwa hayo ni majina ya asili hivyo jivunie. Click to expand... Kwani majina kama Amani, Upendo, wema, dhabibu, au jasiri hayamo kwenye majina ya kiafrika?
Proved said: Au anaitwa Tabu,Shida, Mateso,Nuksi. Unaambiwa hayo ni majina ya asili hivyo jivunie. Click to expand... Kwani majina kama Amani, Upendo, wema, dhabibu, au jasiri hayamo kwenye majina ya kiafrika?
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 12,297 Reaction score 18,156 Feb 21, 2026 #43 Allen Kilewella said: Kwani majina kama Amani, Upendo, wema, dhabibu, au jasiri hayamo kwenye majina ya kiafrika? Click to expand... bila ya kutoa jina arabuni au ulaya huwezi waambia kitu aisee
Allen Kilewella said: Kwani majina kama Amani, Upendo, wema, dhabibu, au jasiri hayamo kwenye majina ya kiafrika? Click to expand... bila ya kutoa jina arabuni au ulaya huwezi waambia kitu aisee