Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂,Bosi sio kufuru,, shetan hawezi kumzidi mungu nguvu, huyo mnaemwita shetani kama yupo, yupo kwa makusudi maalumu,, yaani hii ni kama game of chance, soma vizuri kisa cha ayub,, wakati shetan na mungu wakiwekeana dau juu ya ayub,Nimefanya ushenzi sana humu duniani ila sikawahi kumkufuru Mungu
Najua Munguu na ni mwingi wa rehema utanisamehe dhambi zangu.
Tenda jambo kwa huyu mtoa mada ehee Mungu nakuomba
Hapa wagala ndo mnapofeli,, huyo ni mtu wenu, na hiyo mistari kainukuu kutoka kwenye kitabu chenu sasa hiyo dini nyingine unayooita ya kiarabu hapo inaingiaje!!Ungekuwa ndiyo wale wenye dini ya Kiarabu sasa hivi ungekiwa kwenye mahakama ya kadhi au
Tunamattz yetu meng tuUkiwa na afya njema, husumbuliwi na madeni, na una vijifedha vya kubadilisha mlo, UTAONGEA MENGI
Daaah bro sjawah kuwaza ivi najiulza mamb meng ila ww n nomaMkuu
Pole sana!
Najua unaenda Mbali sana, WENGI watakutisha Sana Lakini hata Mambo yanaleta SHIDA Sana kifikra ukitafakari KWA kina!
Mf:-
MUNGU akamuumba malaika Mkuu,huyo Malaika Mkuu akafanya suprise akaasi KWA kiburi ambacho hatujui nani alimpa hicho kiburi coz hakukuwa na shetani mwingine KIPINDI hicho,Sasa huyu shetani anawadanganya watu waasi ILI wake wachomwe moto na MUNGU milele!
Mkanganyiko mikubwa Sana KWA mwenye akili timamu!!
ACHA tujilazimishe kuwa wajinga I'll tusitende hio iitwayo dhambi!!
Mvaa kobazi ana bifu na taifa la kiyahudiMkuu viwekee wazi Mkuu!
Vitaje hivyo vifunguKwa msiojua, dini ya kiyahudi, inaamini mungu ndo huyohuyo shetwan🙆♀️,in fact kuna vifungu vinaweka wazi
Kwa hiyo hiki ndo kifungu Tanzania tunasafari ndefu sana
Lakin hajakulazimisha umwabudu mbona Kuna wapagani wengi, alafu Mungu alishamhukumu shetani mda sanaMsitoe povu sana...jibuni hoja...mnaweza mkakasirikiana bure...kumbe Mungu na Shetani huwa wanakutana na kupiga stori, mfano kama mwanzoni mwa kitabu cha Ayubu...Truth is born out of an argument.
Hivi upo duniani au ulisha potea... Umekunywa keyvant inakukimbiza nakuona uwandike kile hujuwi umeandika. Angalia sasa hili bandiko litakavyo kutesa mpaka useme pooo Mungu hadhihakiwi na chochote apandacho mtu huvuna... Tafakari utavuna nn na nn itakuwa hatima yako.... Jibu unalo mwenyeweUkisoma kwa umakini biblia Mwanzo mpaka ufunuo utaelewa kuwa kitabu kimebadilisha wahusika, Sehtani ameitwa Mungu na Mungu ameitwa shetani.
Mungu wa kwenye biblia anaelezewa kuwa Mungu mwenye wivu anayechukia kuona unamsifu au kumfuata mungu mwingine, Anataka wewe tokea unaamka hadi unalala uwe unamuwaza yeye tu na kufanya kila kitu anachotaka yeye...wakati biblia haijaonesha kama Shetani ana wivu au anataka watu wafuate itikadi zake lasivyo atakasirika.
Kutokana na huu wivu, Mungu wa kwenye biblia ukihesabu ameua wanaume takribani millioni na ushee.....2, 345, 439 (Hapa hatujahesabu wanawake na watoto)
Ukiconsider na source za nje ya biblia idadi inafika mpaka 22, 743, 746
Watu alioua mungu ni wengi, kama wale vijana 42 aliowaua kwasababu walimtania Elisha kuwa ana upaa...
Watu 147, 000 aliowaua kwasababu walitaka demokrasia maana walichoka kupelekeshwa na Mussa
Nk. Nk.
Lakini Shetani wa kwenye biblia ameua watu 10 tu, tena hao 10 aliwaua kwasababu alishinikizwa na Mungu...Mungu alimbinya vidole shetani awaue wale watoto wa Ayubu.
Na muda huo huo, Mungu anasema atakuja siku ya mwisho kuchukua watu wake wachache tu na Kuwachoma kwa moto mkali wengine wote ambao hawakumsikiliza mchana na usiku.
Nani ni shetani apo? Na nani ni Mungu?
Hakuna Mungu wala Shetani, hizo zote ni hadithi za kutungwa na watu tu.Ukisoma kwa umakini biblia Mwanzo mpaka ufunuo utaelewa kuwa kitabu kimebadilisha wahusika, Sehtani ameitwa Mungu na Mungu ameitwa shetani.
Mungu wa kwenye biblia anaelezewa kuwa Mungu mwenye wivu anayechukia kuona unamsifu au kumfuata mungu mwingine, Anataka wewe tokea unaamka hadi unalala uwe unamuwaza yeye tu na kufanya kila kitu anachotaka yeye...wakati biblia haijaonesha kama Shetani ana wivu au anataka watu wafuate itikadi zake lasivyo atakasirika.
Kutokana na huu wivu, Mungu wa kwenye biblia ukihesabu ameua wanaume takribani millioni na ushee.....2, 345, 439 (Hapa hatujahesabu wanawake na watoto)
Ukiconsider na source za nje ya biblia idadi inafika mpaka 22, 743, 746
Watu alioua mungu ni wengi, kama wale vijana 42 aliowaua kwasababu walimtania Elisha kuwa ana upaa...
Watu 147, 000 aliowaua kwasababu walitaka demokrasia maana walichoka kupelekeshwa na Mussa
Nk. Nk.
Lakini Shetani wa kwenye biblia ameua watu 10 tu, tena hao 10 aliwaua kwasababu alishinikizwa na Mungu...Mungu alimbinya vidole shetani awaue wale watoto wa Ayubu.
Na muda huo huo, Mungu anasema atakuja siku ya mwisho kuchukua watu wake wachache tu na Kuwachoma kwa moto mkali wengine wote ambao hawakumsikiliza mchana na usiku.
Nani ni shetani apo? Na nani ni Mungu?
Alivyooandika umemuelewa? Biblia haisomwi km gazeti na waliojaribu kusoma km gazeti walishindwa kujua maana yake.Hapa wagala ndo mnapofeli,, huyo ni mtu wenu, na hiyo mistari kainukuu kutoka kwenye kitabu chenu sasa hiyo dini nyingine unayooita ya kiarabu hapo inaingiaje!!
Hapo kashakuka makande kazi kujamba na kutuandikia ushunzi,muache aendelee kumfananisha Mungu na shemeji yakeKwa kweli shibe ni mwanamalevya.
Elimu bure inawaharibu watanzania usiku mimea inatoa carbon dioxide mchana inatoa oxygen, unavyosema usiku hewa kwa binadamu kwa hiyo binadamu anatumia carbon dioxideMtu akiteseka wanasema ni mapenzi ya Mungu, Ina maana ana uhusiano na shetani. Mimi ninaona Mungu na shetani ni vitu viwili vinavyofanya kazi pamoja. Ni sawa na mwanga na Giza. Wakati wa mchana mimea inatumia jua kutengeneza ule ukijani wake na usiku mimea inatoa hewa kwa binadamu.
Ukifatilia sana matukio ya mwanzo hadi mwisho wa Biblia unajiuliza haya yalifanyika Mungu akiwa wapi? Au Mungu ni dhaifu? Yaani watu wameuana sana humo kwenye Bible mpala unashangaa ukiwa unasoma kama unasoma kitabu kitakatifu kweli au kitabu cha Kichina cha movie ya vita.Ukisoma kwa umakini biblia Mwanzo mpaka ufunuo utaelewa kuwa kitabu kimebadilisha wahusika, Sehtani ameitwa Mungu na Mungu ameitwa shetani.