Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Ni Waafrika wangapi kipindi hicho walikuwa wakristo?Afrika Tena nawakati Ethiopian wanamfahamu tokea miaka hiyo ya before Christ (B.C) kwa hiyo Ethiopian haipo Africa
Mwaka 1400 ni watanzania wangapi walikuwa wakristo?
Mnaona Ukristo kama ndio imani universal vile wakati imekuja tu juzi,