Mungu ni mmoja na Sisi kama watu tunaishi mfumo wa kimaendeleo ambao unamtukuza Mungu

Mungu ni mmoja na Sisi kama watu tunaishi mfumo wa kimaendeleo ambao unamtukuza Mungu

CCM WAMELIWA

Member
Joined
May 17, 2026
Posts
53
Reaction score
27
Najua Mungu ni mmoja na Sisi kama watu tunaishi mfumo wa kimaendeleo ambao unamtukuza Mungu kwa kushirikiana na kusaidiana kiutendaji kutimiza lengo la Mungu kikazi, kimaendeleo, fursa na riziki ndiyo maana tumekua ndugu na marafiki na Leo hii tunawasiliana kwa mipango ya Mungu.
 
Rais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee.
Zikahesabiwa ndani ya saa 72 .

maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu.
 
Najua Mungu ni mmoja na Sisi kama watu tunaishi mfumo wa kimaendeleo ambao unamtukuza Mungu kwa kushirikiana na kusaidiana kiutendaji kutimiza lengo la Mungu kikazi, kimaendeleo, fursa na riziki ndiyo maana tumekua ndugu na marafiki na Leo hii tunawasiliana kwa mipango ya Mungu.
Mental confusion!
 
“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na matalajio ya jamii ya Kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mfumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa”.

Mwalimu JK Nyerere.
 
Ngoja niagize kopo lingine la komoni, pengine akili ikiikaa sawa nitaelewa hii thread
 
Najua Mungu ni mmoja na Sisi kama watu tunaishi mfumo wa kimaendeleo ambao unamtukuza Mungu kwa kushirikiana na kusaidiana kiutendaji kutimiza lengo la Mungu kikazi, kimaendeleo, fursa na riziki ndiyo maana tumekua ndugu na marafiki na Leo hii tunawasiliana kwa mipango ya Mungu.
Huwezi kumtaja Samia katika mstari mmoja na Mungu; labda kama huyo mungu wako unaye mfukoni mwako.

Hivi mada yako inahusu kitu gani?
 
Wewe ni chizi, unaelewa maana ya Serikali ?Mara ya kwanza katika Maisha yako umeijua Serikali wapi na kwa nguvu ya wakina nani?
Haramu ni haramu tu, hata ujirushe ghorofa ya 12 hadi chini hutabadili kitu.
 
Wewe unadhani labda unachofanya kina mantiki ila hujui jinsi gani wewe uko giza lako binafsi la kujitakia
 
Back
Top Bottom