PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Majbonge ni waoga kudondoka, pia huwa na nidhamu na chomboubonge unasaidia nn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majbonge ni waoga kudondoka, pia huwa na nidhamu na chomboubonge unasaidia nn?
Mkuu,Kwa hiyo kula mbususu blaza ndo hadi lini
Asante mkuu kumbe mabonge wapo poaMajbonge ni waoga kudondoka, pia huwa na nidhamu na chombo
AsantePole sana mkuu mungu akutie nguvu, get well soon
Asante Sanaa mkuuDoktori,,hakika hizi ni habar za faraja kwetu sisi wanajf,,Mungu azidi kukupigania
Na pole sana kwa unyanyapaa pamoja na kutengwa na watu wako wa karibu
Maisha lazima yasonge mbele,naamini ipo siku na tunataka siku ifike utuambie you are back kwa asilimia mia
Pamoja sana
Asante SanaaPole sana mkuu
Haya mambo haya mpaka yakukute MKUU..Pole sana kiongozi ila sisi ma atheists tunashangaa unavyosema unamshukuru Mungu kama vile yeye alichagua uvunjike mguu.
Kama alikuwepo huyo Mungu aliruhusu vipi hiyo ajali itokee?
Amina DR🙏Pole Sana kwa MAPITO Mungu aendelee kukutia nguvu .
Hii ilikua moja ya comment touching Sanaa...Kuna muda nilijiuliza Kama ntakuja kutembea TENAA..pole sana mkuu, Ukiachana na mistakes ambazo sometimes huwa tunazifanya kwenye maisha yetu kwa kujua/kutokujua so God may use to punish us mara nyingi huwa ni spiritual battle ambayo makusudi yake huwa ni mawili tu KUKUUA au KUKATIZA KUSUDI LA MAISHA YAKO na mara nyingi huwa inatokea either kwenye mambo ya kazi (Vyeo) au mahusiano ( ndugu wa mtu uliyenaye kwenye mahusiano kutokukuridhia au mchakato wa kutaka kuoa/kuolewa).
Ila kwa kuwa upo hai ni ishara inayoonesha God still loves you
Cha kwanza angalia kama kuna kajisehemu uliteleza then talk to God and correct it kwasababu we re not completed by human kind.
Cha pili Be strong as a MAN and faith High ili upone haraka even though bone healing takes time but al least utaweza kuendelea na shughuli ndogondogo
Cha tatu kula vizuri, tumia dawa inavotakiwa na ibada kwa sana i believe utakaa sawa ila ukipona USIMUACHE MUNGU.
Nimezungumza by Experience not just thoughts.
POLE SANA AISEE , MUNGU AZIDI KUKUPA UPONYAJI WA HARAKA!!!! JAMAA ZANGU WA BODA BODA NA HATA MADEREVA WA MAGARI TUWE MAKINI NA KUVUMILIANA MU BARABARA.Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hii ilikua moja ya comment touching Sanaa...Kuna muda nilijiuliza Kama ntakuja kutembea TENAA..
Asanteni kwa Dua zenu naendelea vyema nazidi ku imarika day after day
MUNGU ni MWEMAHii ilikua moja ya comment touching Sanaa...Kuna muda nilijiuliza Kama ntakuja kutembea TENAA..
Asanteni kwa Dua zenu naendelea vyema nazidi ku imarika day after day..
All the time.MUNGU ni MWEMA
True true....kuamka asubuh salama na kurudi nyumbani salama ni Jambo la kumshukuru MUNGU.POLE SANA AISEE , MUNGU AZIDI KUKUPA UPONYAJI WA HARAKA!!!! JAMAA ZANGU WA BODA BODA NA HATA MADEREVA WA MAGARI TUWE MAKINI NA KUVUMILIANA MU BARABARA.
Nilikua najidanganya ajari ni za watu wengine..aisee hakuna binadamu special ajar hazichagui zinawachukuaga hata mwenye taadhariMleta uzi umesema ni mtu wa afya so unashuhudia deaths and the worst condition unaweza kuukuta mwili wa binadamu yet hii ishu ilikugusa to the max.
Pole sana mkuu
Asante Sanaa ndugupole sana kiongozi