Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

Asante Sanaa mkuu
 
Pole sana kiongozi ila sisi ma atheists tunashangaa unavyosema unamshukuru Mungu kama vile yeye alichagua uvunjike mguu.
Kama alikuwepo huyo Mungu aliruhusu vipi hiyo ajali itokee?
Haya mambo haya mpaka yakukute MKUU..

Hii dunia Ina science πŸ§ͺ zake za asili unaweza uka bisha Ila ukawa hauna ufahamu

Kasome
EZEKIEL 5:1
 
Hii ilikua moja ya comment touching Sanaa...Kuna muda nilijiuliza Kama ntakuja kutembea TENAA..

Asanteni kwa Dua zenu naendelea vyema nazidi ku imarika day after day..
 
Siku ya Leo last year ilianza vyema nikaingia mishe mishe vizuri kurudi Ila sikurudi nyumbani Tena nikawa mtu wa hospital..
Sina kawaida ya kulala out na nyumbani.
Siku iyo niliahidi kuwai nyumbani kumsaidia wife kupika na shughuli ndogo ndogo maana alikua MJAMZITO.

Muda mwingi moyo ulikua na pressure ya juu nikipimwa pressure ilikua juu Sana mpaka kuwaogopesha madaktari..

Bro alimpigia simu wife wangu kamwambia nimepata ajari Ila tunarud nyumbani Ila baadae aka ambiwa nimeambiwa nipumzike..

Tulichati mpaka usiku Sana..kesho alikuja Kuni visit hospital akakuta nimesha fungwa muhogo na sikua najiweza kwa chochote... akaniambia UMENIDANGANYA kumbe umeumia Sanaa...huku tabasamu na machozi kwa pamoja vikimtoka.

Nashukuru memba wote ambao mlikua faraja kwangu kwenye kipindi kigumu na kizito nilicho pitia.

Asante kwa ndugu Intelligent businessman kwa kunijulia Hali Mara kwa Mara niliiona roho/ moyo wa pekee nafsi ya ajabu kwa mtu asiye mfahamu kumjali Kama ndugu kwake..

Nawasiliana wote humu nyumbani JF mbalikiwe woteeee kwa upendo wenu wa ki pekee
 
POLE SANA AISEE , MUNGU AZIDI KUKUPA UPONYAJI WA HARAKA!!!! JAMAA ZANGU WA BODA BODA NA HATA MADEREVA WA MAGARI TUWE MAKINI NA KUVUMILIANA MU BARABARA.
 
Hii ilikua moja ya comment touching Sanaa...Kuna muda nilijiuliza Kama ntakuja kutembea TENAA..

Asanteni kwa Dua zenu naendelea vyema nazidi ku imarika day after day

Hii ilikua moja ya comment touching Sanaa...Kuna muda nilijiuliza Kama ntakuja kutembea TENAA..

Asanteni kwa Dua zenu naendelea vyema nazidi ku imarika day after day..
MUNGU ni MWEMA
 
Mleta uzi umesema ni mtu wa afya so unashuhudia deaths and the worst condition unaweza kuukuta mwili wa binadamu yet hii ishu ilikugusa to the max.

Pole sana mkuu
 
POLE SANA AISEE , MUNGU AZIDI KUKUPA UPONYAJI WA HARAKA!!!! JAMAA ZANGU WA BODA BODA NA HATA MADEREVA WA MAGARI TUWE MAKINI NA KUVUMILIANA MU BARABARA.
True true....kuamka asubuh salama na kurudi nyumbani salama ni Jambo la kumshukuru MUNGU.
 
Mleta uzi umesema ni mtu wa afya so unashuhudia deaths and the worst condition unaweza kuukuta mwili wa binadamu yet hii ishu ilikugusa to the max.

Pole sana mkuu
Nilikua najidanganya ajari ni za watu wengine..aisee hakuna binadamu special ajar hazichagui zinawachukuaga hata mwenye taadhari

Ilikua safari ngumu Sana kwenye Maisha yangu... mwenyezi Mungu ni mwema.

Labda pengine nisinge kua hai muda huu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…