Tulia..πUkorofi wa waz
Mmh kama ni hivo nadhani mngevumiliana kuweka mipango sawa mmoja amfuate mwingine. Kama ni kitanda kimoja afu jamaa hapigi mashine hapo ndo penye shida.Dar,mbeya
Nilijaribu kuomba uhamisho ilishindikana mkuu,yeye kuja kwangu alikataa alisema mishe za hela zipo darMmh kama ni hivo nadhani mngevumiliana kuweka mipango sawa mmoja amfuate mwingine. Kama ni kitanda kimoja afu jamaa hapigi mashine hapo ndo penye shida.
Pole mpnz, ni dhahiri hakukupenda au alkua na shida tofauti. All ain all Mungu hutenda kwa wakati wake. Wakati wako utafika.Nilijaribu kuomba uhamisho ilishindikana mkuu,yeye kuja kwangu alikataa alisema mishe za hela zipo dar
Kumbe uliolewaga weyeHabari ndugu zangu,
Napenda kutumia nafasi hii kuwainua mioyo wanawake wenzangu wenye nia kama niliyokuwa nayo ya kuishi na mume.
Katika imani, subra na uvumilivu inawezekana. Mwenzenu nimefanikiwa kuolewa nilitolewa posa tar 14/7/2017 na mahari 16/9/2017.
Mengi nimepitia ya kukwaza na kukwazwa lakini yote yako ndani ya mfumo wa maisha ya binadamu yapasa kujili.
Wanawake wenzangu mume anapatikana popote na katika umri wowote na kwa hali yoyote(am a singlemom) kikubwa kujitunza hata ukutane na eat and run wangapi wewe vumilia, time will tell. Mhusika Mungu akubariki sana kipenzi.Asante sana.
NB: No sendoff or weddingcard, we are for making goodfamily ourkids is ourcelemon.
Mbarikiwe sana wana JF.
Duh...!Nilifunga ndoa then baada ya hapo ikawa ndoa jina sikuwahi ishi nae ivo ikanibidi niliweka hadharani kuwa sina ndoa tena
Pole sana my dearestMambo mengi mkuu
Kweli ndoa nyoko pamoja na vingereza vingi lakini wapi...π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hongera dear!hatimae sio single mom tena u have a family now..congrats kipenz may GOD bless u and your family be a good mom take care,respect u hubby and children well wish u all da best in your marriage mammie.
Habari ndugu zangu,
Napenda kutumia nafasi hii kuwainua mioyo wanawake wenzangu wenye nia kama niliyokuwa nayo ya kuishi na mume.
Katika imani, subra na uvumilivu inawezekana. Mwenzenu nimefanikiwa kuolewa nilitolewa posa tar 14/7/2017 na mahari 16/9/2017.
Mengi nimepitia ya kukwaza na kukwazwa lakini yote yako ndani ya mfumo wa maisha ya binadamu yapasa kujili.
Wanawake wenzangu mume anapatikana popote na katika umri wowote na kwa hali yoyote(am a singlemom) kikubwa kujitunza hata ukutane na eat and run wangapi wewe vumilia, time will tell. Mhusika Mungu akubariki sana kipenzi.Asante sana.
NB: No sendoff or weddingcard, we are for making goodfamily ourkids is ourcelemon.
Mbarikiwe sana wana JF.
Ulikurupuka kiaje wakati ulisema kuwa no mater how many hit and run unakutana nao never be discouraged? So inamaanisha ulikuwa tayari na uzoefu tosha wa wanaumeAsante sana,kukurupuka kuliniponza
Hapana ulitimiza wajibu km mwanamke ila yeye hakuona umuhimu. Ila nikwambie kitu utasahau na kujiuliza kwanini yule pale utakapopata mtu sahihi.Nakuombea sana sana MUNGU HASHINDWIAsante sana,kukurupuka kuliniponza
Njoo basi nikuwowe mrembo upate tulizo la moyoYeah,sure