Mungu ni mwema, nimefanikiwa kupata mume

Hapana ulitimiza wajibu km mwanamke ila yeye hakuona umuhimu. Ila nikwambie kitu utasahau na kujiuliza kwanini yule pale utakapopata mtu sahihi.Nakuombea sana sana MUNGU HASHINDWI
Kuolewa tena kaka? Japo nduguze waliniambia ivo pia lakini mi nishakata tamaa...nimeichukia hii hali..siwez
 
🤣🤣🤣🤣Wee besty bwana najua wee haunaga kujivunga ikija mambo ya mbususu yako kupelekewa moto...nitumai ile ofa yangu bado ipo
Nitakupa tu,mbona nilikuahidi
 
pole

pengine alikuwa ni mume wa mtu tyr.

ila hizi ndoa hizi, ikidumu ndani ya miaka 5 mkatoe sadaka
Wee bwana ndoa itadumu vipi wakati watu tunaoana tukiwa tayari used products....kilanmtu ana ma ex wasiooungua kumi
 
Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…