Mungu ni mwema, nimefanikiwa kupata mume

ahahhaha namkumbuka sana afu alikujha kwa mwamvuli wa rafik km sikosei !anywsy yote heri
yule alikuwa ni rafiki yangu mkuu,kama unanikumbuka kweli basi soma na thread zangu zote
 
yule alikuwa ni rafiki yangu mkuu,kama unanikumbuka kweli basi soma na thread zangu zote

mradi ulikua na kiu cha kuolewa haya mama kila la heri kiu kimeisha !karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…