Mungu ni mwema, nimefanikiwa kupata mume

Unakumbuka hii Mumeee......your wife is calling you!
 
Hongera sana,ila sasa hivyo vi sms mlivyokuwa mnawasiliana na hao wa hit and run uvifute,na uwa block hawa jamaa maana wengine ilimradi ushajua ushampata wa kukuoa mnaendelea na kuchat mkijidai kuwa hamna mpango wa kufanya chochote..
 
Hongera kwa hatua muhimu uliyopiga katika maisha
 
Kumbe ndoa dili saivi [emoji23][emoji23][emoji23] kwanini wanaume tusiweke dau saiv naona tumekua adimu kweli..... tena dau lenyew liwe kwa mfumo wa mikataba
 
Sikuhiz kuolewa ni sawa nakuwin jackpot wanaume tumekuwa wagumu sana sijui kwann

Nina dem wangu huyo huu mwaka wa 4 tunagededana tu wala hatujawahi fikiria maswala ya kuoana

Hivo kama umepata fursa ya kuolewa ni vyema uitumie vizuri hiyo fursa, msikilizane, mvumiliane na mpendane maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana
 
Heko. Kumbe mume nae anatafutwagwa nimejifunza kitu hapa. Jamani nami nkepata wa kunitafuta mbona angenipata mapema
 
Hongera sana bibie...Kamtunze vizuri Mumeo na mtoto

Hili chama la mabachela wanachama wanazidi kupungua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…