Mungu ni mwema, nimefanikiwa kupata mume

Kalibu ktk Changamoto na Fulsa nyingine
Cha msingi usiwe muigizaj na msaulifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa usije ukapasha kiporo maana itakuwa ndio ntolee
 
ongeraaaa sanaaaa na Mungu hawabariki katika safari yenu mpya ya ndoaaaaaa
 
samahan !nakumbuka ni mwaka huu huu ulikuwa unatafta mume !umekaa naye muda gan kwenye mahusiano !kama hutajali lakini nijibu !au km vipi potezea !

kila la heri
[emoji23] apoteze vipi sasa.!! acha akujibu tu labda tutapata somo.
 
Ahsante kwa taarifa na ushauri.
Ila mm narekebisha kidogo, wale ambao bado hamjaolewa.

Kuweni makini na hao"HIT AND RUN"
 
Kupenda au kupendwa??![emoji32][emoji32][emoji32].......mwanamke kuanza kupenda yeye ni kiherehere ambacho hasara yake ni kubwa sana!!!


hiv wewe una miaka mingap kwanza !nisaidie hapa kwanza
 
 
nakushauri funga ndoa, usipofunga ndoa mtachokana na yeyote kati yenu hatakuwa na kizuizi kufunga ndoa na mtu mwingine. kumbuka kisheria uhawara (kama huo wenu) hautambuliki kama ni ndoa. na hata presumption of marriage (kama mmekaa pamoja miaka miwili na zaidi watu wakijua ni wanandoa) huja tu kukoa maslahi ya upande unaoonewa lakini generally muunganiko wowote hautambuliki kama ni ndoa hapa tz kama haujafunga na kupata certificate of marriage. hii ina maana kwamba, hata mmeo akifa sasaivi, utahangaika sana kugomboa mali mlizochuma pamoja, mkiachana itakusumbua sana kupata haki zako, hata kama unampenda siku akiamka vibaya au akiwekewa limbwata huko nje au hata kunenguliwa vizuri na mchepuko akaamua kukubwaga, hautakuwa na sababu ya kupinga kwasababu hamjaoana kisheria. mbumbumbu kaalaga baho!
 
Hongera saana sana dada, kila la heri katika ndoa yako
 
Usianze kumnunua huyo mmeo maana ninyi wanawake hamjambo kwa kununa Nuna
 
Mapenzi hayana formula , na kila binadamu uyachukulia kadri yanavyomtokea . Hongera sana sana ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…