Si ashasema akuna arusi wala send offna hiyo ndoa ilikuwa tarehe ngap??....coz wapo wanaopoteaga hata ile silu ya Harusi yenyewe.....
Alikuwa,ila mmoja hatoshi mkuuJe, huyu hakuwa sherehe Je,nitakuwa nimekosea kufanya hivi?
Asante sana mkuuKalibu ktk Changamoto na Fulsa nyingine
Cha msingi usiwe muigizaj na msaulifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana kwa kupata haja ya moyo wako dearHabari ndugu zangu,
Napenda kutumia nafasi hii kuwainua mioyo wanawake wenzangu wenye nia kama niliyokuwa nayo ya kuishi na mume.
Katika imani, subra na uvumilivu inawezekana. Mwenzenu nimefanikiwa kuolewa nilitolewa posa tar 14/7/2017 na mahari 16/9/2017.
Mengi nimepitia ya kukwaza na kukwazwa lakini yote yako ndani ya mfumo wa maisha ya binadamu yapasa kujili.
Wanawake wenzangu mume anapatikana popote na katika umri wowote na kwa hali yoyote(am a singlemom) kikubwa kujitunza hata ukutane na eat and run wangapi wewe vumilia, time will tell. Mhusika Mungu akubariki sana kipenzi.Asante sana.
NB: No sendoff or weddingcard, we are for making goodfamily ourkids is ourcelemon.
Mbarikiwe sana wana JF.
Asante kwa ushauri mkuunakushauri funga ndoa, usipofunga ndoa mtachokana na yeyote kati yenu hatakuwa na kizuizi kufunga ndoa na mtu mwingine. kumbuka kisheria uhawara (kama huo wenu) hautambuliki kama ni ndoa. na hata presumption of marriage (kama mmekaa pamoja miaka miwili na zaidi watu wakijua ni wanandoa) huja tu kukoa maslahi ya upande unaoonewa lakini generally muunganiko wowote hautambuliki kama ni ndoa hapa tz kama haujafunga na kupata certificate of marriage. hii ina maana kwamba, hata mmeo akifa sasaivi, utahangaika sana kugomboa mali mlizochuma pamoja, mkiachana itakusumbua sana kupata haki zako, hata kama unampenda siku akiamka vibaya au akiwekewa limbwata huko nje au hata kunenguliwa vizuri na mchepuko akaamua kukubwaga, hautakuwa na sababu ya kupinga kwasababu hamjaoana kisheria. mbumbumbu kaalaga baho!
Ahsante kwa taarifa na ushauri.
Ila mm narekebisha kidogo, wale ambao bado hamjaolewa.
Kuweni makini na hao"HIT AND RUN"