Mungu ni mwema, nimefanikiwa kupata mume

Mungu ni mwema, nimefanikiwa kupata mume

Hongera sana. Mungu awabariki,lakini ya kwangu naomba tu Mungu niwachezeshe na mimi watu kwaito. Maana nacheza sana za watu
 
Habari ndugu zangu,

Napenda kutumia nafasi hii kuwainua mioyo wanawake wenzangu wenye nia kama niliyokuwa nayo ya kuishi na mume.

Katika imani, subra na uvumilivu inawezekana. Mwenzenu nimefanikiwa kuolewa nilitolewa posa tar 14/7/2017 na mahari 16/9/2017.

Mengi nimepitia ya kukwaza na kukwazwa lakini yote yako ndani ya mfumo wa maisha ya binadamu yapasa kujili.

Wanawake wenzangu mume anapatikana popote na katika umri wowote na kwa hali yoyote(am a singlemom) kikubwa kujitunza hata ukutane na eat and run wangapi wewe vumilia, time will tell. Mhusika Mungu akubariki sana kipenzi.Asante sana.

NB: No sendoff or weddingcard, we are for making goodfamily ourkids is ourcelemon.

Mbarikiwe sana wana JF.
Hongera sana kwa kupata haja ya moyo wako dear
 
nakushauri funga ndoa, usipofunga ndoa mtachokana na yeyote kati yenu hatakuwa na kizuizi kufunga ndoa na mtu mwingine. kumbuka kisheria uhawara (kama huo wenu) hautambuliki kama ni ndoa. na hata presumption of marriage (kama mmekaa pamoja miaka miwili na zaidi watu wakijua ni wanandoa) huja tu kukoa maslahi ya upande unaoonewa lakini generally muunganiko wowote hautambuliki kama ni ndoa hapa tz kama haujafunga na kupata certificate of marriage. hii ina maana kwamba, hata mmeo akifa sasaivi, utahangaika sana kugomboa mali mlizochuma pamoja, mkiachana itakusumbua sana kupata haki zako, hata kama unampenda siku akiamka vibaya au akiwekewa limbwata huko nje au hata kunenguliwa vizuri na mchepuko akaamua kukubwaga, hautakuwa na sababu ya kupinga kwasababu hamjaoana kisheria. mbumbumbu kaalaga baho!
Asante kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom