Mungu ni mwema, nimefanikiwa kupata mume

Hongera ujiheshimu sasa sio unaanza kukumbushia na Yule jamaa!
Hivi mzazi mwenzio akisema mkutane au kwenye hafla ya mwanao wanasema baba na mama wa mtoto wasimame, mme hapa sjui atakisikiaje!!
Mimi siwakubali kabisa singo moms sababu naamini kuna mahali walijirahisisha eidha kwa umalaya au tamaa ya pesa, ila pia naamini wachache sio kosa lao ni kwa ajli ya wanaume!
 
kuwajua sasa,ndo tabu mkuu
Wanajulikana, haiwezekani baada ya kumfahamu mtu hata humjui baada ya wiki unapanua miguu yako kwa ajili yake, a smart woman will always identify a hit and run guy, kama 'hatambui' basi nae ni hit and run, and iam afraid but majority of single moms were hit and run!
 
Umefanikiwa kuolewa n yet you're a single mom? Au sijaelewa vizuri mkuu?
 
Ndugu yangu unaonekana ulikuwa na kiu ya ndoa hatari, lakini hata hivyo hiyo sio ndoa huyo ni bwana tu umepata unaishi nae, manake ndoa ni lazma ihalalishwe kanisani au msikitini, sasa hiyo yako unaiitaje ndoa? hata mahari jamaa katoa kweli? nashindwa kukupa hongera manake bado naona kama muda si mrefu unaweza rudi hapa kulia, we umekutana na mtu kauona ni jinsi gani uko desparate na yeye kaamua ku take advantage ya huo udesparate tena kwa gharama nafuu na wewe unajidanganya una ndoa, jamani! na ukute ni mario unamtuza mweee kwa kweli pole
 
 
Hongera sana kila siku nasema kimtokacho mtu ndicho kilichojaza moyo wake. Wadada wengi kutwa kusema ndoa ya kazi gani? Niolewe ili iweje?? Na kweli Mungu atafanya kama unaneyo ila mtu anapenda kuolewa anatamani familia lazima Mungu atasikia maombi yake. Shoga kaa utulie na mumeo huyo ndo aliekuthamini hao wa pembeni usiwaendekeze walikuona wa kazi gani.
 
Amina dada,Mungu akubariki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…