Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mzazi mwenzio akisema mkutane au kwenye hafla ya mwanao wanasema baba na mama wa mtoto wasimame, mme hapa sjui atakisikiaje!!Hongera ujiheshimu sasa sio unaanza kukumbushia na Yule jamaa!
Wanajulikana, haiwezekani baada ya kumfahamu mtu hata humjui baada ya wiki unapanua miguu yako kwa ajili yake, a smart woman will always identify a hit and run guy, kama 'hatambui' basi nae ni hit and run, and iam afraid but majority of single moms were hit and run!kuwajua sasa,ndo tabu mkuu
Ni kweli ila kaugumu kidogo kaongezeke, thamani iongezeke uchaguzi wa maeneo ya faragha.kuwajua sasa,ndo tabu mkuu
Maana haijapoteasio EAT AND RUN?teh
Habari ndugu zangu,
Napenda kutumia nafasi hii kuwainua mioyo wanawake wenzangu wenye nia kama niliyokuwa nayo ya kuishi na mume.
Katika imani, subra na uvumilivu inawezekana. Mwenzenu nimefanikiwa kuolewa nilitolewa posa tar 14/7/2017 na mahari 16/9/2017.
Mengi nimepitia ya kukwaza na kukwazwa lakini yote yako ndani ya mfumo wa maisha ya binadamu yapasa kujili.
Wanawake wenzangu mume anapatikana popote na katika umri wowote na kwa hali yoyote(am a singlemom) kikubwa kujitunza hata ukutane na eat and run wangapi wewe vumilia, time will tell. Mhusika Mungu akubariki sana kipenzi.Asante sana.
NB: No sendoff or weddingcard, we are for making goodfamily ourkids is ourcelemon.
Hongera sana
Nilikuuliza je wewe ni dume au Ke hujajibu hadi sasa! CC: miss chaggaAlikuwa,ila mmoja hatoshi mkuu
Mhhhhahahahha ipo had mwisho wa dahari lol
Amina dada,Mungu akubariki sanaHongera sana kila siku nasema kimtokacho mtu ndicho kilichojaza moyo wake. Wadada wengi kutwa kusema ndoa ya kazi gani? Niolewe ili iweje?? Na kweli Mungu atafanya kama unaneyo ila mtu anapenda kuolewa anatamani familia lazima Mungu atasikia maombi yake. Shoga kaa utulie na mumeo huyo ndo aliekuthamini hao wa pembeni usiwaendekeze walikuona wa kazi gani.
Kwani mkuu unajua maana ya ndoa? Mahali na posa ndo ndoa...soma biblia kama ni mkristo...Ndoa bado unamuita mume?