Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie? kwa hiyo mmeshafunga ndoa mkuu?Siye tushayamaliza mkuu
hata ukutane na eat and run wangapi wewe vumilia,
No sendoff or weddingcard, we are for making goodfamily ourkids is ourcelemon.
Nyie? kwa hiyo mmeshafunga ndoa mkuu?
Wewe yule jamaa anaekusumbua sana pm una mpango wa kumkubalia lini??Hongera sana kipenzi
Maisha mema katika safari yako mpya
....hata mimi nilikuwa 'eat and run'?...basi sawaHabari ndugu zangu,
Napenda kutumia nafasi hii kuwainua mioyo wanawake wenzangu wenye nia kama niliyokuwa nayo ya kuishi na mume.
Katika imani, subra na uvumilivu inawezekana. Mwenzenu nimefanikiwa kuolewa nilitolewa posa tar 14/7/2017 na mahari 16/9/2017.
Mengi nimepitia ya kukwaza na kukwazwa lakini yote yako ndani ya mfumo wa maisha ya binadamu yapasa kujili.
Wanawake wenzangu mume anapatikana popote na katika umri wowote na kwa hali yoyote(am a singlemom) kikubwa kujitunza hata ukutane na eat and run wangapi wewe vumilia, time will tell. Mhusika Mungu akubariki sana kipenzi.Asante sana.
NB: No sendoff or weddingcard, we are for making goodfamily ourkids is ourcelemon.
Mbarikiwe sana wana JF.
Aseee basi sawa tunamtakia kila la heriamesema no wedding mkuu wala sendoff