Mungu ni mwema nimemaliza miezi mi Nne bila kufanya mapenzi, kuvuta sigara, kunywa pombe.

Salamaleko
Tumsifu yesu kristo.

Mnamo miezi kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo nilinuia kuacha kabisa Uvutaji sigara na ulevi wa pombe. Na kupunguza au kupumzika kufanya ngono.

Na sasa nipo naendelea vizuri sana najisikia amani nina confidence ya hali ya juu naishi maisha yangu kawaida bila kuwaza hela ya kwenda kulukia viwanja.

Nashukuru Mungu niendeleee hivi hivi niache pombe na sigara na ngono mpaka kuoa.
Unajisumbua tuu!
Imeandikwa "kila amtazamaye mwanamke kwa kumtamani hakika amekwisha kuzini nae moyoni mwake".
Huenda umezini zaidi ya mzabzab mzee wa mbususu.
 
Hongera tupe uzoefu umewezaje kuacha pombe? Maana wengine tunapenda kutoka kwenye hicho kitanz lakin wapi unijikuta umeshatimba counter upo bia ya kumi, dah shetani mmbaya sana
 
Ni swala la uamuzi tu,

Just say from today onward sitagusa pombe ,bangi na sigara na inawezekana kabisa.
 
Nimesikitika sana watu wanavyokushauri uendekeze ngono na uaache pombe , kuwa makini una hamasishwa upate ngoma mkuu.
Mkuu hatua zote zimechukuliwa na nawaambia hili pia wakaliangalie tena upya
 
Salamaleko
Tumsifu yesu kristo.

Mnamo miezi kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo nilinuia kuacha kabisa Uvutaji sigara na ulevi wa pombe. Na kupunguza au kupumzika kufanya ngono.

Na sasa nipo naendelea vizuri sana najisikia amani nina confidence ya hali ya juu naishi maisha yangu kawaida bila kuwaza hela ya kwenda kulukia viwanja.

Nashukuru Mungu niendeleee hivi hivi niache pombe na sigara na ngono mpaka kuoa.
Hongera sana
 
Back
Top Bottom