Kwa mafanikio haya tunamshukuru sana mamaSalamaleko
Tumsifu yesu kristo.
Mnamo miezi kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo nilinuia kuacha kabisa Uvutaji sigara na ulevi wa pombe. Na kupunguza au kupumzika kufanya ngono.
Na sasa nipo naendelea vizuri sana najisikia amani nina confidence ya hali ya juu naishi maisha yangu kawaida bila kuwaza hela ya kwenda kulukia viwanja.
Nashukuru Mungu niendeleee hivi hivi niache pombe na sigara na ngono mpaka kuoa.
Hongera na ashukuriwe Mungu!Mimi fegi ndio nimeshindwa mkuu, Tuombeane Nipe pia mbinu!Salamaleko
Tumsifu yesu kristo.
Mnamo miezi kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo nilinuia kuacha kabisa Uvutaji sigara na ulevi wa pombe. Na kupunguza au kupumzika kufanya ngono.
Na sasa nipo naendelea vizuri sana najisikia amani nina confidence ya hali ya juu naishi maisha yangu kawaida bila kuwaza hela ya kwenda kulukia viwanja.
Nashukuru Mungu niendeleee hivi hivi niache pombe na sigara na ngono mpaka kuoa.
Hongera ukiwa msafi wa nafsi na mwili hivo hata ukimuomba Mungu ni dakika 0 tu hakucheleweshei, na miongozo yake itakufata hata ndotoni.Salamaleko
Tumsifu yesu kristo.
Mnamo miezi kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo nilinuia kuacha kabisa Uvutaji sigara na ulevi wa pombe. Na kupunguza au kupumzika kufanya ngono.
Na sasa nipo naendelea vizuri sana najisikia amani nina confidence ya hali ya juu naishi maisha yangu kawaida bila kuwaza hela ya kwenda kulukia viwanja.
Nashukuru Mungu niendeleee hivi hivi niache pombe na sigara na ngono mpaka kuoa.
Ngoja nijitamkie kuanzia sasa hivNi swala la uamuzi tu,
Just say from today onward sitagusa pombe ,bangi na sigara na inawezekana kabisa.
Yeah upo sahihi vitu vingi sana vinatokea ukilewa unakua na akili bandia ukiamka asubuhi unajiuliza hivi ni mm kweliNadhani mtoa nyuzi kaamua kuacha ngono zembe maana akilewa ni rahisi kuokota kuacha ngono zembe kunasaidia kuweza kupata mwenza wa kufanya ngono salama..ukizoea sana kuokota bar kutongoza mtaani inakua ngumu upo sahihi mazee pumzika ukiwa sawa utampata alietulia utaendelea kunyoosha miguu kama kawaida maana kusimamisha muda wowote na mtu yeyote ni hatari sana kwa kuweza kupata magonjwa kirahisi.
Kuna mnyama mmoja maarufu anaitwa Nyeto anakucheck pembeni huku akitabasamu😂Salamaleko
Tumsifu yesu kristo.
Mnamo miezi kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo nilinuia kuacha kabisa Uvutaji sigara na ulevi wa pombe. Na kupunguza au kupumzika kufanya ngono.
Na sasa nipo naendelea vizuri sana najisikia amani nina confidence ya hali ya juu naishi maisha yangu kawaida bila kuwaza hela ya kwenda kulukia viwanja.
Nashukuru Mungu niendeleee hivi hivi niache pombe na sigara na ngono mpaka kuoa.
Comment fupi yenye maana kubwa sanaHongera hakuna utumwa mbaya Kama ule wa kujiona upo huru