Kwenye maelezo yake Hajapumzika kupenda, ila kapumzika kufanya NGONO.Mwanaume kama hau-umwi Unapumzikaje kufanya mapenzi? kwani haujaoa?
Ngono ni hitaji la akili na sio mwiliYeah ukiweza ku control akili mwili unakubali tu
Ni jambo la kumshukuru Mungu saana kwa hilo maana ni uraibu unaotesa karibu rika zoteSalamaleko
Tumsifu yesu kristo.
Mnamo miezi kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo nilinuia kuacha kabisa Uvutaji sigara na ulevi wa pombe. Na kupunguza au kupumzika kufanya ngono.
Na sasa nipo naendelea vizuri sana najisikia amani nina confidence ya hali ya juu naishi maisha yangu kawaida bila kuwaza hela ya kwenda kulukia viwanja.
Nashukuru Mungu niendeleee hivi hivi niache pombe na sigara na ngono mpaka kuoa.
Kama hukuweza hata kwenda kutungua dafu hongeraSalamaleko
Tumsifu yesu kristo.
Mnamo miezi kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo nilinuia kuacha kabisa Uvutaji sigara na ulevi wa pombe. Na kupunguza au kupumzika kufanya ngono.
Na sasa nipo naendelea vizuri sana najisikia amani nina confidence ya hali ya juu naishi maisha yangu kawaida bila kuwaza hela ya kwenda kulukia viwanja.
Nashukuru Mungu niendeleee hivi hivi niache pombe na sigara na ngono mpaka kuoa.
Karudie kusoma uzi hakuna sehemu nimesema kuacha kunyandua mkuuHauko sawa mkuu,huwezi kukaa mwaka mzima bila kunyandua ni eidha umewaka,huna nguvu za kiume au huna hela
Mkuu hakika hasa upande wa akili naona nimeimarika sana nilikua Nateswa na arosto ya sigara na pombe vilikua vinapelekea nikilewa nilale na wanawake huku hela pia I kinda matumiz yalikua makubwa mkuuKama nakuona mleta mada UL vyopendeza kiafya
Mamaa yupo mbali huko moshi sema saa hii ntajitahidi mara moja kwa mwez kama si mara mbili japo ntake fungulia siku ya kwanza kazi anayo mbona 😂😂🤣Kwenye pombe na sigara nakupongeza. Ila hapo kwenye mapenzi mmh...siku ukifungulia utakuwa kitombi wa hali ya juu. Ulitakiwa kuwa na mpenzi wako mmoja utulie nae.
Aou tuu,huyu ndie ashughulike nae kihalali!Kwenye pombe na sigara nakupongeza. Ila hapo kwenye mapenzi mmh...siku ukifungulia utakuwa kitombi wa hali ya juu. Ulitakiwa kuwa na mpenzi wako mmoja utulie nae.
Atachepuka tuAou tuu,huyu ndie ashughulike nae kihalali!
Mkuuu nazan ulikuwa ni wale wa tano bora kila darasa lako HONGERA kwa kusoma na kuelewa watu wavivu wa kusoma wepesi wa kukomentiKwenye maelezo yake Hajapumzika kupenda, ila kapumzika kufanya NGONO.
Hauwezi kupumzika kupenda au kupendwa. Utapendwa na kaka, dada, mama, baba na hata jamii.
Msichanganye mapenzi na ngono. Mnatuharibia neno letu.
Kama yupo mbali ni sawa. Nilidhani umefunga kabisa milangoMamaa yupo mbali huko moshi sema saa hii ntajitahidi mara moja kwa mwez kama si mara mbili japo ntake fungulia siku ya kwanza kazi anayo mbona 😂😂🤣
Basi Mungu akusimamie mkuu, kama nia unayo.Hapana demi serious nimeamua nimeweka nazili kuwa silud nilipotoka hasa ulevi mkuu