Mimi life naijua vizuri ndio maana nimekuelewa kirahisi na nkmejichanganya maisha mengi tofauti ingawaje situmii kilevi chochote..Yeah upo sahihi vitu vingi sana vinatokea ukilewa unakua na akili bandia ukiamka asubuhi unajiuliza hivi ni mm kweli
PmLeta number
Inashangaza sana aisee badala ya kumhamasisha atafute mwenza ili maisha yaendelee wao wanataka wawe kama wao tena..Nimesikitika sana watu wanavyokushauri uendekeze ngono na uaache pombe , kuwa makini una hamasishwa upate ngoma mkuu.
Ni hatari mno hakuna uraibu ninao uogopa kama huo wa ngono zembeInashangaza sana aisee badala ya kumhamasisha atafute mwenza ili maisha yaendelee wao wanataka wawe kama wao tena..
Ukoo au wafuasi?Hapana haijaa sawa inatakiwa kuongeza ukoo utanuke zaidi na zaidi
Nakuchek usiwe na harakaH
Aipo mbona PM yako
Ngoja nimpe mdau namba zakoAkiwa mpwa ndo itapendeza zaidi, au wee unaonajee?
sure, kila mtu ana fantasy yake na hakuna maana ya maisha kwa mtu asiyekuwa na fantasyHawapo sahihi na kingine sema ni vile kila mtu na fantasy yake mkuu
Unazo? Ukitaja 2 za mwisho na mtandao husika, nakupa muamala sasa hivi.Ngoja nimpe mdau namba zako
👿👿👿Nadhani mtoa nyuzi kaamua kuacha ngono zembe maana akilewa ni rahisi kuokota kuacha ngono zembe kunasaidia kuweza kupata mwenza wa kufanya ngono salama..ukizoea sana kuokota bar kutongoza mtaani inakua ngumu upo sahihi mazee pumzika ukiwa sawa utampata alietulia utaendelea kunyoosha miguu kama kawaida maana kusimamisha muda wowote na mtu yeyote ni hatari sana na kuweza kupata magonjwa kirahisi.
Unaona nashida sana na muamala, ngoja nimpe atakuchekiUnazo? Ukitaja 2 za mwisho na mtandao husika, nakupa muamala sasa hivi.
Huna no angu, em kwendraaa huko.Unaona nashida sana na muamala, ngoja nimpe atakucheki