Mungu ni mwema nimemaliza miezi mi Nne bila kufanya mapenzi, kuvuta sigara, kunywa pombe.

Huenda hivi vitu vinaenda na umri, sikuwahi kuwaz kuwa naweza kuiona ngono kama kitu cha kawaida, ila leo naweza kukaa hata mwezi na wala mwili haushtuki, is it umri au ni kitu gani!
Hakika mkuu imagine umelamba mbususu zaid ya 50+ tofauti tofauti na hukuna ulichopata cha kipekee. Nazan hakuna cha kukushangaza unabakia kuwa kawaida na kumpenda mmoja tu kama ni wife
 
Salamaleko
Tumsifu yesu kristo.

Mnamo miezi kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo nilinuia kuacha kabisa Uvutaji sigara na ulevi wa pombe. Na kupunguza au kupumzika kufanya ngono.

Na sasa nipo naendelea vizuri sana najisikia amani nina confidence ya hali ya juu naishi maisha yangu kawaida bila kuwaza hela ya kwenda kulukia viwanja.

Nashukuru Mungu niendeleee hivi hivi niache pombe na sigara na ngono mpaka kuoa.
Umejitahidi sana na pia umefanya jambo jema kuutangazia umma ushindi wako. Huu ndo ushuhuda utakao saidia wengine pia, maana kuna watu wana amini bila kunyandua au kunyanduliwa basi maisha hayaendi 😀 😀 😀
 
sure, hakuna jipya kwenye kunyandua....ule mzaramo, msukuma, mchaga wote ni wale wale tuu. so jambo jema ni kutulia na mmoja na kufanya maisha.
 
Wewe ni zuzu
 
Hongera sana

Andaa cashbook report yako kisha angalia umesevu kiasi gani?

Nenda kwenye nyumba za watoto yatima ama kama Kuna Shule jirani hapo za msingi, tafuta wanafunzi wasio na uniform wanunulie japo wawili watatu ili kuwapa tabasamu.

Linda afya yako pamoja na kibunda chako Kwa kuacha matendo hatarishi kama hayo ya ngono/sigara/pombe
 
Amen mkuu nitafanya hivyo Asante kwa kunipa wazo
 
sure, hakuna jipya kwenye kunyandua....ule mzaramo, msukuma, mchaga wote ni wale wale tuu. so jambo jema ni kutulia na mmoja na kufanya maisha.
Hakika mkuu sema kila jambo na umri pia
 
Umejitahidi sana na pia umefanya jambo jema kuutangazia umma ushindi wako. Huu ndo ushuhuda utakao saidia wengine pia, maana kuna watu wana amini bila kunyandua au kunyanduliwa basi maisha hayaendi 😀 😀 😀
Hawapo sahihi na kingine sema ni vile kila mtu na fantasy yake mkuu
 
Back
Top Bottom