ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Na wewe unaweza kukaa miezi minne bila kuupasha mwili?🤣🤣Hongera sana.
Na wewe unaweza kukaa miezi minne bila kuupasha mwili?🤣🤣Hongera sana.
Haya, umepita mtihani wako, kasomee upadre au ushemasi au ukatekista sasa.Salamaleko
Tumsifu yesu kristo.
Mnamo miezi kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo nilinuia kuacha kabisa Uvutaji sigara na ulevi wa pombe. Na kupunguza au kupumzika kufanya ngono.
Na sasa nipo naendelea vizuri sana najisikia amani nina confidence ya hali ya juu naishi maisha yangu kawaida bila kuwaza hela ya kwenda kulukia viwanja.
Nashukuru Mungu niendeleee hivi hivi niache pombe na sigara na ngono mpaka kuoa.
Hata miaka miwili natoboa...Na wewe unaweza kukaa miezi minne bila kuupasha mwili?🤣🤣
Jaribu tuone Mideko🤣Hata miaka miwili natoboa...
Hapo umevuka mipaka mkuu, maana huenda hata humjui.Huyo hawezi hata kidogo kila mara anawashwa na hela za wanaume
Kumbe sitaki,nataka!Kutombisa noo sijafunga nimepumzika tu ila nimechukua muda sasa ni miezi sina habari nimeamua lkn dada demi tunaweza kufungulia mimi na wewe 🥰
Umepatia kama vile tulikuwa kidato kimoja🤩Mkuuu nazan ulikuwa ni wale wa tano bora kila darasa lako HONGERA kwa kusoma na kuelewa watu wavivu wa kusoma wepesi wa kukomenti
Hongera sana kwa kipindi hiki cha mwanzoni jitahid usikae karibu na hvyo vitu ulivyoacha mm nina utafuta mwaka wa pili bila pombe,sigara,ugoro bangi nimeacha wakati naanza kuacha nilikuw nakaa mbali na hvyo vitu ila sasa hata niwe nao karibu frsh tuSalamaleko
Tumsifu yesu kristo.
Mnamo miezi kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo nilinuia kuacha kabisa Uvutaji sigara na ulevi wa pombe. Na kupunguza au kupumzika kufanya ngono.
Na sasa nipo naendelea vizuri sana najisikia amani nina confidence ya hali ya juu naishi maisha yangu kawaida bila kuwaza hela ya kwenda kulukia viwanja.
Nashukuru Mungu niendeleee hivi hivi niache pombe na sigara na ngono mpaka kuoa.
Upo mitaa gani uwe na hela kidogo ya kumpa.Nitafutie mmoja mkuuu nipunguze kichupa
Hakika mkuu na mimi nimejiepusha kozi nilianza nikiwa chuoHongera sana kwa kipindi hiki cha mwanzoni jitahid usikae karibu na hvyo vitu ulivyoacha mm nina utafuta mwaka wa pili bila pombe,sigara,ugoro bangi nimeacha wakati naanza kuacha nilikuw nakaa mbali na hvyo vitu ila sasa hata niwe nao karibu frsh tu