Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Unajisumbua tuu!Salamaleko
Tumsifu yesu kristo.
Mnamo miezi kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo nilinuia kuacha kabisa Uvutaji sigara na ulevi wa pombe. Na kupunguza au kupumzika kufanya ngono.
Na sasa nipo naendelea vizuri sana najisikia amani nina confidence ya hali ya juu naishi maisha yangu kawaida bila kuwaza hela ya kwenda kulukia viwanja.
Nashukuru Mungu niendeleee hivi hivi niache pombe na sigara na ngono mpaka kuoa.
Mbna mda sana! Ni wee ndo ulikua hujui. LolMmh Umeanza lini kugawa baraka🤣🤣
Ni swala la uamuzi tu,Hongera tupe uzoefu umewezaje kuacha pombe? Maana wengine tunapenda kutoka kwenye hicho kitanz lakin wapi unijikuta umeshatimba counter upo bia ya kumi, dah shetani mmbaya sana
Mwenyewe nimeshangaa sana aache pombe ila ngono asiache , jamaa anahamasishwa ili apate VVU asee🤔Wazinifu watakulaumu kuacha Ngono vitoto vya shetani
Wanaona Ngono ndio urijaliMwenyewe nimeshangaa sana aache pombe ila ngono asiache , jamaa anahamasishwa ili apate VVU asee🤔
Huu ujinga unawagharimu wengi bwashee .Wanaona Ngono ndio urijali
Imeandikwa;Hongera hakuna utumwa mbaya Kama ule wa kujiona upo huru
Waache waendelee kuipamba Ngono si wanaisikia kwenye miziki.. " wewe mpelekee motoo"Huu ujinga unawagharimu wengi bwashee .
Hongera sanaSalamaleko