#COVID19 Mungu ni mwema sana, sasa tunawafahamu waliokuwa wakimpotosha Hayati Magufuli kuhusu Corona

Askofu Gwajima anaonesha kuwa ni mmojawapo waliokuwa wanamshauri vibaya Rais JPM (rip).

Hizi chanjo hata Ulaya na Marekani wanachanja kwa wingi sana. Inamaana wao watakuwa mazombi ili Gwajima akazoe Dola zao kwenye mabenki watakapogeuka kuwa mazombi kama anavyosema Gwajima kuwa chanjo hizi zitageuza watu kuwa mazombi.

Ni vema Gwajima akatumia demokrasia yake kukataa kuchangiwa kama yeye badala ya kushawishi waumini wake wakatae kuchanjwa. Anasahau kuwa waumini wake ni watanzania. Enzi za JPM mtu anaepingana na maagizo na mipango ya serikali angeshakamatwa au kutumbuliwa kama ni mtumishi.

Gwajima anapima kina Cha maji kwa miguu yake.

Tanzania ikiacha kuchanja itageuka kisiwa, Kuna siku dunia itakuja na maazimio ya asiyechanja asipewe VISA, asipande ndege, asiingie kwao, asiwauzie bidhaa zao, wasiende nchi ambayo Kuna maambukizi (hawakuchanja).
Zombie ni yule hajiulizi kwanini hata nikichanjwa naweza kuambukizwa na kuambukizwa?
Kwanini nivae barakoa wakati nimechanjwa?
 
Askofu Gwajima anaonesha kuwa ni mmojawapo waliokuwa wanamshauri vibaya Rais JPM (rip).

Hizi chanjo hata Ulaya na Marekani wanachanja kwa wingi sana. Inamaana wao watakuwa mazombi ili Gwajima akazoe Dola zao kwenye mabenki watakapogeuka kuwa mazombi kama anavyosema Gwajima kuwa chanjo hizi zitageuza watu kuwa mazombi.

Ni vema Gwajima akatumia demokrasia yake kukataa kuchangiwa kama yeye badala ya kushawishi waumini wake wakatae kuchanjwa. Anasahau kuwa waumini wake ni watanzania. Enzi za JPM mtu anaepingana na maagizo na mipango ya serikali angeshakamatwa au kutumbuliwa kama ni mtumishi.

Gwajima anapima kina Cha maji kwa miguu yake.

Tanzania ikiacha kuchanja itageuka kisiwa, Kuna siku dunia itakuja na maazimio ya asiyechanja asipewe VISA, asipande ndege, asiingie kwao, asiwauzie bidhaa zao, wasiende nchi ambayo Kuna maambukizi (hawakuchanja).
Watakuja tu wenyewe, we unadhani tulivyo na mimali na utajiri wote huo mabeberu watashindwa kuja hapa nchini sababu hatujachanjwa, au wewe huwajuia mabeberu walivyo walafi, akina Tony Blair wataiba wapi? wenye uhitaji na chanjo ni watu sampuli ya akina Kitenge ambao kila leo wanawaza kwenda kutangaza juisi ya ASAS huko Marekani! na wale akina Vasco Da Gama wa zama zile,sisi wengine ambao hata kwenda Dar ni shida unaposema mabo ya Viza hatukuelewi, chanja mwenyewe sisi tutaishi na kuzikwa hapa hapa Tanzania, wangapi wanaenda ughaibuni kati ya Watanzania milioni 60?
 
Ndomaana jana nilisema angelikuwa kanda wa upinzani, tiyari angelikuwa mkononi mwa polisi . huyu gwajima??
Kada wa upinzania alisema serikali ituchanje sote ilihali serikali ilisema kuchanja ni hiari ,je alitiwa mikononi mwa polisi, kila mtu yupo huru kutoa maoni kwa anavyoona yeye bana.
 
Jazaneni ujinga tu hizo chanjo zikija kuwageuka tutakuwa tunawacheka tu
 
Watanzania bhana si mpige hyo chanjo kwani tatizo nn ila michango sisi hatutoa yakitokea madhara ya hyo JJ yenu
 
Askofu anachanganya madesa, enzi za nyungu, malimao, pilipili na covido zimepita. Watu waliumia sana kwa kula malimao na pilipili.
Watu wanaomsikiliza Rashid watakuwa na matatizo binafsi.

Imagine, wakati wanapewa ile miti shamba na concoction za Kituo cha Utafiti wa tiba asili sikusikia watu wanalalamika au kuulizia hizo chemical contents. Magufuli mpaka alipoteza mafuta kwenda Madagascar kuleta concoction ambazo mpaka leo hatujui ziko wapi. Mbona wataalamu wetu mpaka leo hawajasema utafiti wao unasemaje ....!!
 
Askofu Gwajima anaonesha kuwa ni mmojawapo waliokuwa wanamshauri vibaya Rais JPM (rip).

Hizi chanjo hata Ulaya na Marekani wanachanja kwa wingi sana. Inamaana wao watakuwa mazombi ili Gwajima akazoe Dola zao kwenye mabenki watakapogeuka kuwa mazombi kama anavyosema Gwajima kuwa chanjo hizi zitageuza watu kuwa mazombi.

Ni vema Gwajima akatumia demokrasia yake kukataa kuchangiwa kama yeye badala ya kushawishi waumini wake wakatae kuchanjwa. Anasahau kuwa waumini wake ni watanzania. Enzi za JPM mtu anaepingana na maagizo na mipango ya serikali angeshakamatwa au kutumbuliwa kama ni mtumishi.

Gwajima anapima kina Cha maji kwa miguu yake.

Tanzania ikiacha kuchanja itageuka kisiwa, Kuna siku dunia itakuja na maazimio ya asiyechanja asipewe VISA, asipande ndege, asiingie kwao, asiwauzie bidhaa zao, wasiende nchi ambayo Kuna maambukizi (hawakuchanja).
MKIIANZA KUZIKA MSEME PIA
 
kwa kuwa mm Sina korona ,Basi sichanji,na wakichanja wanao jihisi Wana korona,Basi hawataambukizwa. ,na Kama hawataambukizwa ,maana yake mm pia nitakuwa huru kuingia na kutoka popote maana hakutakuwa na mgonjwa wa koronya ambaye anaweza kuniambukiza.theory ndogo tu kwa ambao hatuendi kuchanja Kama hivi.hivyo tusilazimishane.[emoji28]
 
Kitu kizuri ni kwamba chanjo ni hiari ya mtu. Asiyechanjwa asilazimishe wengine wasichanjwe na anayechanjwa asilazimishe na wengine wachanjwe.
 
Gagula Hilo ni hatari Sana, kutwa, kuchwa ni kudanganya tu. Mara nina hela kwenye mfuko was shati ya kununua treni.

Mara ninanunua ndege iko bandarini.

Mara ntawapeleka Wana Kawe wote Ulaya na Marekani, yaani muongo sana na hajawahi kutimiza ahadi zake.

Hivi zile boti za uvuvi alizosema ziko njiani mwezi February zitafika lini?
Na yule muumini aliyekuwa anamkatia Mauno kashapata ujauzito?
 
hujamuelewa Askofu Gwajiama ebu msikilize tena upate ujumbe vizuri naona umekimbilia kwenye hoja nyepesi ya UZOMBI
 
Watakuja tu wenyewe, we unadhani tulivyo na mimali na utajiri wote huo mabeberu watashindwa kuja hapa nchini sababu hatujachanjwa, au wewe huwajuia mabeberu walivyo walafi, akina Tony Blair wataiba wapi? wenye uhitaji na chanjo ni watu sampuli ya akina Kitenge ambao kila leo wanawaza kwenda kutangaza juisi ya ASAS huko Marekani! na wale akina Vasco Da Gama wa zama zile,sisi wengine ambao hata kwenda Dar ni shida unaposema mabo ya Viza hatukuelewi, chanja mwenyewe sisi tutaishi na kuzikwa hapa hapa Tanzania, wangapi wanaenda ughaibuni kati ya Watanzania milioni 60?
Huwezi kufaulu hadi hapo utakapoachana na kila kitu Cha unaowaita mabeneru. Kataa na chanjo zao zote, dawa zao zote, na vifaatiba vyao vyote, vinginevyo hawatakukosa kama wakikukusudia.

Hata hivyo hata sisi ingekuwa vyema tungeanza kuchanja wale ambao wana kesho chache (wazee) na wale wenye shida nyingine za kiafya ambazo ni hatarishi kwa Covid
 
Askofu Gwajima anaonesha kuwa ni mmojawapo waliokuwa wanamshauri vibaya Rais JPM (rip).

Hizi chanjo hata Ulaya na Marekani wanachanja kwa wingi sana. Inamaana wao watakuwa mazombi ili Gwajima akazoe Dola zao kwenye mabenki watakapogeuka kuwa mazombi kama anavyosema Gwajima kuwa chanjo hizi zitageuza watu kuwa mazombi.

Ni vema Gwajima akatumia demokrasia yake kukataa kuchangiwa kama yeye badala ya kushawishi waumini wake wakatae kuchanjwa. Anasahau kuwa waumini wake ni watanzania. Enzi za JPM mtu anaepingana na maagizo na mipango ya serikali angeshakamatwa au kutumbuliwa kama ni mtumishi.

Gwajima anapima kina Cha maji kwa miguu yake.

Tanzania ikiacha kuchanja itageuka kisiwa, Kuna siku dunia itakuja na maazimio ya asiyechanja asipewe VISA, asipande ndege, asiingie kwao, asiwauzie bidhaa zao, wasiende nchi ambayo Kuna maambukizi (hawakuchanja).
Gwajiboi ni Mchungaji tapeli sana mwenye makelele na makeke mengi sana.
 
Back
Top Bottom