Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 633
- 1,256
Hongera sana na pole Kwa Changamoto ulizokutana nazo. Hapo ndo umekuwa mwanaume kamili. Kuna kitu naona kama si kizuri ulichofanya kwenye kumuachia nyumba. Hiyo uliofanya ni laana maana mbeleni huko lazima atauza na kurudi zero Kisha kuomba msamaha. Ni heri kesi iende Mahakamani tu Ili mgawane then Kila mtu afe na chake wewe ukiendelea kuwekeza Kwa watoto. Tena kitendo Cha wewe kuchukua watoto ndo umempa uhuru kabisa wa kufanya anachotaka. Ni heri ungemwachia watoto hapo akili ingemkaa na kuona nyumba Mali ya watoto. Anyway kuanza upya napo si mbaya Mungu ndo mtoaji kama alikubariki wkt ule hata Sasa atakupigania. Ongera.