Mungu nisaidie 2025 nipate mume niolewe

Mungu nisaidie 2025 nipate mume niolewe

Weka kwanza masharti ya aina ya Mwanaume unaemtaka 2025.ili watu wajue wanakuja au wanaendelea na mishe nyingine
 
Amen binti, upate mume mwema ambae atakua baraka kwako na kwa uzao wako[emoji120]
 
Ungeweka cv yako ya kutaka mume ingependeza sana, isije ikawa una watoto debe, ni single mother sugu, useme una elimu gani, unafanya kazi gani, una umri gani, una dini na imani gani, ni mweusi au mweupe, si vibaya ukitaja kabila lako. Tunaohitaji mke tutajipima kuona kama tunakufaa
wangapi munaohitaji?
 
Wanaonitakia mema wajibu amen!
Sala zako zitajibiwa mwaka huu. Lakini wakati unamsubiria Mungu kujibu sala zako na wewe fanya upelelezi wa kinafsiya. Jiulize: Ni kweli niko tayari kuwa mke mwema kwa mwanaume wa ndoto zangu? Ni nini kitakachomfanya mwanaume aje kwangu na kunitaka niwe mke wake na mama wa watoto wake? What do I have to offer apart from my pussy? Ni kweli niko tayari kuwa mke mwema? Kuolewa ni uamuzi sahihi kwangu katika kipindi hiki cha maisha yangu? Nataka mume wa aina gani? Niko tayari kuwa mama bora kwa watoto wangu? Je, nina tabia zo zote mbaya ambazo pengine mpaka wakati huu zimekuwa zikiwafukuza wanaume wote wanaokuja kwangu (mf. Ujuaji mwingi, kutoambilika, ego, feminist uchwara n.k)? Niko tayari kuziacha tabia hizo? Na mengineyo...

Anza upelelezi huu wa kinafsiya sasa. It may be uncomfortable lakini jikaze. Apa kujiboresha katika nyanja zote za maisha yako kwa kadri inavyowezekana. Ione thamani yako kama binti na mke mtarajiwa. Jipende sana. Jitambue...na uache kulalwa lalwa hovyo kama ulikuwa na tabia hiyo. Tena uape kabisa kuwa "mwanaume ambaye atanikula kuanzia sasa ni yule tu atakayekuwa mume wangu wa ndoa". Na mengine yote mwachie Mungu na bila kulega lega.

Nakwambia kufikia June mwaka huu tayari utakuwa na pete ya uchumba/ndoa katika chanda chako!

Happy New Year 🙏🏿

IMG-20250101-WA0013.jpg
 
Mume mwenye magari mangapi? Nyumba ngapi?
 
ni muhim sana kujiepusha na maringo, kiburi na kuchagua wanaume kupita kiasi.

mshirikishe Mungu katika kila hatua unapoelekea kuifikia haja ya moyo wako.

usijifungie sana ndani, toka na utafute kule ambako wanaume wapo.

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuambatana nawe daima2025 🐒
Komredi kama hujaoa kamata hilo jimbo.
 
Back
Top Bottom