Mungu nisaidie bado nina ndoto za kumuoa Butogwa Shija

Dah aisee
 
Hongera kaka. Kwa kumshauri dogo. Kuna balehe za uzeeni
 
Sio mbaya wanaume tumeumbwa kutamani ila kila ukitamani unaanzisha uzi ipo siku unaweza kuwa serious watu wakajua ndo yaleyale.
Ni kweli ina gharama kwenye maisha hata siku ukiwa serious watu wanakuona tapeli
 
Sawa mkuu wewe unazan kumuoa mtu hadi uwe unaish naye mtaa mmoja? Au mnasoma shule moja?
Shule,kanisani,kazini nk hakuna mtu aweza kubali kuolewa na mtu ambaye yeye hamjui na yeye hamjui hizo zinaitwa internet marriage za scam
 
Vyuma naona vimekaza.
Mleta mada Ni kidume Cha mjini kitapeli kula kulala kwa wazazi
Kinatafuta Wanawake wenye kazi wa kumlea na kumuweka kinyumba!!! Hakipati mtu.Vidume koko Kama mleta mada baada ya vyuma kukaza huwinda Wanawake wenye kazi au biashara vipate pa kupumlia.Kidume tafuta Cha kufanya iwe umachinga au kibarua Cha kubeba nzege au mizigo masokoni.Internet hutapata mwanamke wa kumtapeli kuoa.Mleta mada pambana na Hali yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…