Mungu saidia wapigania haki m23 waikamate kinshasa

Unazani goma to kinshasa ni Ubongo na Kisarawe. Hapo ni zaid ya kilometer 2300 mkuu
Kwahiyo kilometer 2300 ni mbinguni kwamba hapafikiki sio wajinga nyie mnajambajamba sababu mmezoea kuonea raia Sasa raia wamewastukia wizi wenu mnakipata🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tuiombe na Tanzania iwasaidie M23 ili washinde dhidi ya FARDC ili kuyigomboa inji yetu yiliyo na Mali mingi ya kulisa afrika yote
Tanzania ni Moja ya gaidi linalosaidia kupora haki za raia wa kongo siwezi kuiombea
 
Kwahiyo kilometer 2300 ni mbinguni kwamba hapafikiki sio wajinga nyie mnajambajamba sababu mmezoea kuonea raia Sasa raia wamewastukia wizi wenu mnakipata🤣🤣🤣🤣🤣
Ngoja nikupe namba ya coy mzungu
 
Hili kagame afyonze madini siyo
 
Wanapigania haki ipi,au haki ya kuwadhulumu wa Congo ?
maana hata mwizi hujihisi kuwa ana haki ya kuiba,muuaji nae hujiona kuwa ana haki ya kuishi
 
Wanapigania haki ipi,au haki ya kuwadhulumu wa Congo ?
maana hata mwizi hujihisi kuwa ana haki ya kuiba,muuaji nae hujiona kuwa ana haki ya kuishi
Endeleeni kuibia raia na kuteka raia ila ipo siku yenu yatawatokea puani kama congo wajinga nyie mtalimia meno
 
Unafahamu umbali wa kutoka Goma/Bukavu hadi Kinshasa...

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…