Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Tulia dogo picha yake hiyo Kuna Watu wanamjua watakwambia huyo sio polisi.
Mimi nilidhani ni wewe ndo unamjua kumbe kuna watu?
Hata hao watu nao ni wasiojulikana, kwa hiyo wewe ni rongrongo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia dogo picha yake hiyo Kuna Watu wanamjua watakwambia huyo sio polisi.
Wanajifanya jaribu uone kitakacho kutokeaAwamu hii Ma Uvccm mengi yanajifanya ni TISS! Kuna yule boya mmoja alijifanya eti kuuza madafu ili akusanye taarifa! Sijui ni taarifa za aina gani!
Mwingine yule chapombe na muasherati aliyepewa udc wa Hai akaenda kwenye hotel ya watu na kulala bila kulipa mpaka akaja kuumbuliwa na kile kitambulisho chake feki!
Kinachomtambulisha askari Polisi ni sare ya jeshi la Polisi ndyo maana pia huwa inakuwa na beji yenye jina la askari husika tofauti na hapo kama mtu atafanya kazi ya uaskari Polisi na hana sare ya jeshi la Polisi huyo ni muhalifu,ndyo maana kwa nchi yetu ni kosa kubwa sana kwa mtu yeyote asiye askari kuvaa sare za jeshi lolote lile la hapa Tanzania
Kwa kifupi Huyo aliyemkamata Zitto Kabwe ni mhalifu tu (mtu asiyejulikana)
Tulia dogo picha yake hiyo Kuna Watu wanamjua watakwambia huyo sio polisi.
kila kitu kiko waziUnknown assailant.
Kinachomtambulisha askari Polisi ni sare ya jeshi la Polisi ndyo maana pia huwa inakuwa na beji yenye jina la askari husika tofauti na hapo kama mtu atafanya kazi ya uaskari Polisi na hana sare ya jeshi la Polisi huyo ni muhalifu, ndyo maana kwa nchi yetu ni kosa kubwa sana kwa mtu yeyote asiye askari kuvaa sare za jeshi lolote lile la hapa Tanzania
Kwa kifupi Huyo aliyemkamata Zitto Kabwe ni mhalifu tu (mtu asiyejulikana)
Acheni kukariri mambo, kama hujui ni bora ukauliza uelekezwe.. Aliyekuambia kinachomtambulisha askari ni uniform ni nani?Huyu jamaa sio polisi lakini yupo hapo anashiriki kukamata, kumdhalilisha, kumbuguzi, mchana kweupeView attachment 1487865
duh mtoa uzi utalwalwa wewe ohoo hayaHuyu jamaa sio polisi lakini yupo hapo anashiriki kukamata, kumdhalilisha, kumbuguzi, mchana kweupeView attachment 1487865
Sawa! Lkn kwanini asumbue watu.Sio kila polisi anavaa sare za jeshi acha ujuaji
Vijana wa CCM mnatumika vibaya sana, kama KONDOMU. Mwishowe mtatupwa huko kama GAMBO na MULONGO. Shauri yenu.Sio kila polisi anavaa sare za jeshi acha ujuaji
Vijana wa CCM mnatumika vibaya sana, kama KONDOMU. Mwishowe mtatupwa huko kama GAMBO na MULONGO. Shauri yenu.Mtoa mada bwana, unajitekenya halafu unacheka mwenyewe
Hao ndio hutumika kwenye KUDUNGUA WAPINZANI kama ilivyokuwa kwa Lissu.Unknown assailant.
Kumbe wengine wanavaa sare za UVCCM?Sio kila polisi anavaa sare za jeshi acha ujuaji