Mungu Si Athumani Wasiojulikana Waanza Kujulikana

Tulia dogo picha yake hiyo Kuna Watu wanamjua watakwambia huyo sio polisi.

Mimi nilidhani ni wewe ndo unamjua kumbe kuna watu?
Hata hao watu nao ni wasiojulikana, kwa hiyo wewe ni rongrongo tu.
 
Awamu hii Ma Uvccm mengi yanajifanya ni TISS! Kuna yule boya mmoja alijifanya eti kuuza madafu ili akusanye taarifa! Sijui ni taarifa za aina gani!

Mwingine yule chapombe na muasherati aliyepewa udc wa Hai akaenda kwenye hotel ya watu na kulala bila kulipa mpaka akaja kuumbuliwa na kile kitambulisho chake feki!
 
Wanajifanya jaribu uone kitakacho kutokea
 
Basi Wewe hujui kitu
 
Kigogo angekuwa hajakamatwa lazima angeweza kutuambia huyu ni nani. Sasa ndio basi tena tutabaki kubahatisha tu
 
Dalili za kiongozi dhaifu ni pamoja na kutumia vitisho kuwatisha wanaompinga au kutofautiana nao mawazo.badala ya serikali kuwaogopa watu kwakuwa ndiyo walioiweka madarakani na ndio wenye nchi yenyewe inataka iogopwe na watu
mabutu
nguesu
mubaraka
magufuli
museven
hawa ni mifano ya viongozi dhaifu, wanaamini kwenye umachiavel wa zamani kuwatisha watu wakijipa sifa za kimungu wakati ni binaadamu kama tulivyo sisi
 
Tulia dogo picha yake hiyo Kuna Watu wanamjua watakwambia huyo sio polisi.

Hawa kenge wanadhalilisha sana kitengo!
Kuna kima chache zinakubali kutumika kihuni na hata humu jamvini zipo...
Hela inauza sana utu!
Najua zikiona hii comment zitatoa mapovu sana!
Kitengo kimekuwa hovyo mno,,,
 
Wazee wa kigoma walitoa siku mbili wawe wamewachia

Ova
 
Huyu jamaa sio polisi lakini yupo hapo anashiriki kukamata, kumdhalilisha, kumbuguzi, mchana kweupeView attachment 1487865
Acheni kukariri mambo, kama hujui ni bora ukauliza uelekezwe.. Aliyekuambia kinachomtambulisha askari ni uniform ni nani?

Ndani ya jeshi la polisi kuna vitengo vingi sana kama ffu,traffic, CID n.k

Kitendo cha CID ndio ambao hawavai uniform na wakat mwingne unaweza kumkuta kafuga mpaka rasta.

Nenda kituo cha polisi halafu omba kuonana na mtu nayeitwa mkuu Wa upelelezi Wa makosa ya jinai uone kama utamkuta na uniform.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…