Mungu Si Athumani Wasiojulikana Waanza Kujulikana

Kama hujui na wewe funga domo lako!! Kisheria askali asie na uniform haruhusiwi kukamata watu! Anaweza tu kufanya uchunguzi na kupeleka ripoti kwa askari wanaohusika na ukamataji. Kabla ya kumkamata muharifu anapaswa kutoa sababu ya ukamataji na kuonyesha kitambulisho! Sasa akiwa civilian nini kitakuhakikishia kuwa umekwa chini ya ulinzi na kibaka au askali?
 
kwani sheria yetu ya ku arrest mtu inasemaje?!!?
 
Nyie ndio mnapigwa na matapeli wanaokutwa na sare za maaskari.
Ni hivi unapokamatwa inatakiwa askari ajitambulishe Kwa jina na kituo anachotoka na akuoneshe kitambulisho chake na akumbie kosa lako.

Hyo ni Kwa askari yoyote asiye na uniform na mwenye uniform. Acheni kukariri mambo
 
Labda nikuulize askari anayeitwa detective unamjua??
 
Sio kila askari polisi anavaa sare kwenye jeshi la polisi kuna vitengo vingi mfano CID
 
Taratibu ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…