Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Ukitaka kupindua nchi kwa maamuzi ya kijinga yenye kuongozwa na uigaji yanayotokea kwingineko unakaribisha hatari maishani mwako.Je kuuwa kwenu ni ibada???
Hakuna aliyemuona Mungu, kama vile hakuna aliyeziona akili.Mungu wa CCM na Mungu wa Mwenyekiti wa CCM, siyo sawa na MUNGU wa Chadema na Lisu. Hawa ni MUNGU tofauti.
Mungu wa Mafwele, Wambura na Mkunda , Mulilo siyo sawa na Mungu wa wengine.
Na inawezekana MUNGU wa Waislamu siyo sawa na MUNGU wa Wakristo
Kupoteza ndugu unaona so special?. Umeshajaribu kufikiri huko DRC huwa maisha ya kawaida kutokea kile kilichotokea TZ October 29.Je Mungu hubariki,kufira, kulawiti, kubaka kuteka na kuua zaidi ya neno ukatili??,na bado Mungu huyu huyu ubariki hadi kukejeli maiti na kuwakejeli watu waliopoteza wapendwa wao???
Mwenye hofu ya Mungu tunaomjua na kumhubiri na kuvaa hijabu 24 hrs a day for life, hawezi kufanya wanayofanya CCMUmewaza nn mpaka ukafikia hapo dah???
Nikiwaza yalke ys mo29, nashangaa sana uwezo wa MunguHakuna Mungu.
Mungu hayupo.
Je Mungu hubariki,kufira, kulawiti, kubaka kuteka na kuua zaidi ya neno ukatili??,na bado Mungu huyu huyu ubariki hadi kukejeli maiti na kuwakejeli watu waliopoteza wapendwa wao???
Je kupora uchaguzi nayo ni haki,je kupindua nchi ni nini ??,je anayepora uchaguzi si ni sawa na anayepindua nchi??,je kwa uelewa mdogo je mamlaka ya nchi yanatoka kwa nani kwa viongozi au raia???Ukitaka kupindua nchi kwa maamuzi ya kijinga yenye kuongozwa na uigaji yanayotokea kwingineko unakaribisha hatari maishani mwako.
Vijana waliongozwa na kile kiburi cha ujana kwamba wao wana haki wanaweza kufanya lolote muda wowote, kosa kubwa lilianzia hapo.
Mungu hutenda mema tuu,na shetani hutenda maovu, kukitokea uovu wowote kwa watu wake, ni Mungu ameruhusu shetani atende huo uovu.Je Mungu hubariki,kufira, kulawiti, kubaka kuteka na kuua zaidi ya neno ukatili??,na bado Mungu huyu huyu ubariki hadi kukejeli maiti na kuwakejeli watu waliopoteza wapendwa wao???
Huyo mmoja ulimuona wapi? Hiyo haki aliyotenda iko wapi?Hakuna aliyemuona Mungu, kama vile hakuna aliyeziona akili.
Miungu iliyotengenezwa na wanadamu ipo mingi tu lakini Munguwa sifa za kuitwa Mungu wa haki na wa kweli ni Mmoja tu. Usifikirie kwa kutumia chombo kinachochochewa na hasira hauta uona ukweli.
Je unakubaliana namimi kwasasa Tanzania iko kwenye mkono wa shetani,aliyekunywa damu zaidi ya wapenda haki elfu 23 plusMungu hutenda mema tuu,na shetani hutenda maovu, kukitokea uovu wowote kwa watu wake, ni Mungu ameruhusu shetani atende huo uovu.
Japo inaelezwa Yakobo alikuwa na wana 12, watoto wa kike, hawakuhesabiwa, hiyo kuna mjaamaa mmoja alimbaka binti wa Yakobo akiitwa Dina na kumtoa B, kaka zake 10 walikwenda kwenye huo mji, na kuwaambia ili kijana wao aruhusiwe kuoa kwao, lazima wanaume wote wa ukoo huo watahiriwe, wakakubali na kuwatahiri wanaume wote, wakati wanaugulia vidoda, waliwavamia usiku, nyumba hadi nyumba, kuchinja wanaume wote, waka loot kila cha thamani, wakawachukua mateka wanawake na watoto, wakateketeza nyumba zote!.
Hao wote waliouwawa wana kosa gani?.
Daudi alimtamani mke wa Uria, Bersheeba, akamuua Uriah na kumtwaa Bersheeba na kumfanya mkewe, ndiye aliyemzalia Suleiman. Uriah alikuwa na kosa gani?.
Wakati wana Israel wakitoroka kutoka Misri, kila mzaliwa wa kwanza wa binadamu hadi wa wanyama walikufa. Walikuwa na kosa gani?.
Sometimes ili ukombozi upatikane ni lazima kutolewa kwa kafara ya damu.
P
Na maovu nu mengi kuliko mema, je nguvu ya shetani imezidi ya Mungu?Mungu hutenda mema tuu,na shetani hutenda maovu, kukitokea uovu wowote kwa watu wake, ni Mungu ameruhusu shetani atende huo uovu.
Unavyotafsiri wewe hofu ya mungu ni tofauti na wengine wanavyotafsiri, mfano leo hii mauaji wanayofanya Wa Israel kwa Wapalestina ni genocide lakini kuna watu wengine wanaamini wanatimiza wajibu na mpango wa kimungu.Mwenye hofu ya Mungu tunaomjua na kumhubiri na kuvaa hijabu 24 hrs a day for life, hawezi kufanya wanayofanya CCM
Tanzania haiko kwenye mikono ya mungu au shetani, mungu anayezungumzwa na raia wengi wa nchi hii hata kama kweli yupo atakuwa hajihusishi na siasa kabisa ila wanasiasa na watawala ndio wanatumia story zake kufanikisha malengo yao ya kisiasa na mamilioni ya watu wanamtumia kama kivuli cha kujifariji..Je unakubaliana namimi kwasasa Tanzania iko kwenye mkono wa shetani,aliyekunywa damu zaidi ya wapenda haki elfu 23 plus
No Tanzania iko kwenye mikono salama ya mtu mwenye kibali, ni Mungu pekee ndiye ameruhusu shetani afanye kilichotokea.Je unakubaliana namimi kwasasa Tanzania iko kwenye mkono wa shetani,aliyekunywa damu zaidi ya wapenda haki elfu 23 plus
Mungu huyu ni yupi ,maana ni maajabu watu elfu 23 plus wameuawa kikatili na muuaji anajisifu na kujidai,lakini muuaji bado anasurvive huu ni ulakini mkubwa,muuaji anapeta na anakejeliTanzania haiko kwenye mikono ya mungu au shetani, mungu anayezungumzwa na raia wengi wa nchi hii hata kama kweli yupo atakuwa hajihusishi na siasa kabisa.
Hivi huwa unaamini haya marosoroso yako au ni katika hali ya kuchangamsha genge tu??No Tanzania iko kwenye mikono salama ya mtu mwenye kibali, ni Mungu pekee ndiye ameruhusu shetani afanye kilichotokea.
Aliyepo ndie mwenye kibali cha Mungu, akifanya ndivyo sivyo kinyume cha kibali chake, kibali chake kitafutwa.
P
Kwa maana hiyo kulawiti,kufira,kubaka,kuteka,kuuwa kwa kitindi kali,kuuwa wapenda haki zaidi ya elfu 23 plus ,kukejeri maiti na kusimanga wafiwa yote ni baraka za Mungu?????,Duuh huyu Mungu anaulakiniNo Tanzania iko kwenye mikono salama ya mtu mwenye kibali, ni Mungu pekee ndiye ameruhusu shetani afanye kilichotokea.
Aliyepo ndie mwenye kibali cha Mungu, akifanya ndivyo sivyo kinyume cha kibali chake, kibali chake kitafutwa.
P
Naomba naheshimu maoni yako kuziita hoja zangu maroroso, haya ninayoandika ni ukweli mtupu. Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!Hivi huwa unaamini haya marosoroso yako au ni katika hali ya kuchangamsha genge tu??
Hapana, Mungu yu mwema na hutenda mema wakati wote. Mwovu shetani ndio hutenda maovu wakati wote, ila ni Mungu pekee ndiye humruhusu shetani kutenda hayo maovu.Kwa maana hiyo kuuwa kwa kitindi kali,kuuwa wapenda haki zaidi ya elfu 23 plus ,kukejeri maiti na kusimanga wafiwa yote ni baraka za Mungu?????,Duuh huyu Mungu anaulakini
Kwa mantiki hiyo tuko kwenye utawala wa shetaniHapana, Mungu yu mwema na hutenda mema wakati wote. Mwovu shetani ndio hutenda maovu wakati wote, ila ni Mungu pekee ndiye humruhusu shetani kutenda hayo maovu.
P
Kuona kwa macho si uthibitisho pekee wa uwepo wa kilichopo.Huyo mmoja ulimuona wapi? Hiyo haki aliyotenda iko wapi?