Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
No utawala ni wa Mungu ndiye ameuweka, ila ni Mungu ndiye ameruhusu ushetani kutamalaki na shetani kutamba, muda muafaka ukiwadia ni Mungu mwenyewe atarekebisha.Kwa mantiki hiyo tuko kwenye utawala wa shetani
Huyo mmoja wa ukweli na haki ni yupi kati ya Allah, Yesu, Elohim/Jehovah au Krishna??Hakuna aliyemuona Mungu, kama vile hakuna aliyeziona akili.
Miungu iliyotengenezwa na wanadamu ipo mingi tu lakini Munguwa sifa za kuitwa Mungu wa haki na wa kweli ni Mmoja tu. Usifikirie kwa kutumia chombo kinachochochewa na hasira hauta uona ukweli.
Kwa nini anaruhusu shetani kutamalaki na kutambua na kutesa watu??No utawala ni wa Mungu ndiye ameuweka, ila ni Mungu ndiye ameruhusu ushetani kutamalaki na shetani kutamba, muda muafaka ukiwadia ni Mungu mwenyewe atarekebisha.
P
Je unakubaliana namimi mtu wa Mungu kwa jinsi unavyosema ushetani wa kutisha umemjaa,na wakati ukifika lazima afyekwe ili uangamizi ushetani na ukaribishe nuru kwa andiko lako??No utawala ni wa Mungu ndiye ameuweka, ila ni Mungu ndiye ameruhusu ushetani kutamalaki na shetani kutamba, muda muafaka ukiwadia ni Mungu mwenyewe atarekebisha.
P
Siyo kweli hao ni tofauti kabisa. Hakuna mfanano.Kwa Wakrsto na Waislamu, Mungu ni mmoja aliyeumba mbingu na nchi, na vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana, sheria yake ni moja, zile amri kumi za Mungu alozopewa Mussa kwenye Torati
Mungu amemruhusu shetani kuwavuna watu wake hivyo wanamfuata shetani na kumtumikia shetani!. Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?
P
Mungu wa CCM na Mungu wa Mwenyekiti wa CCM, siyo sawa na MUNGU wa Chadema na Lisu. Hawa ni MUNGU tofauti.
Mungu wa Mafwele, Wambura na Mkunda , Mulilo siyo sawa na Mungu wa wengine.
Na inawezekana MUNGU wa Waislamu siyo sawa na MUNGU wa Wakristo
Ww ni mfaidika wa yale mauaji ya mo29, hivyo lazima utake unyama ule ufumbiwe macho. Ni hivi yale hatusahau, na sio kutosahau tuz lazima tulipe kisasi.Kila kitu mnakipima kwa uzito wa mauaji, yapo mengi sana yenye kupaswa kuongelewa.
Kila mnapowaongelea waliotangulia mbele za haki tareh 29 October mnawaumiza nafsi jamaa zao wa karibu, inakuwa too much.
Punguzeni nongwa.
Huyo mmoja wa ukweli na haki ni yupi kati ya Allah, Yesu, Elohim/Jehovah au Krishna??
Maana kisasi ni haki kwa aliyedhulumiwa,pia ni aibu na laana kuyafumbia machoWw ni mfaidika wa yale mauaji ya mo29, hivyo lazima utake unyama ule ufumbiwe macho. Ni hivi yale hatusahau, na sio kutosahau tuz lazima tulipe kisasi.
Katika mizee inayozeeka vibaya humu JF na wewe upo..!!Yes Mungu ni mmoja, na ni Mungu ndie pekee huweka serikali za mataifa, hivyo Rais Samia amewekwa na Mungu, ila Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani
P
Kiukweli kuna vitu vingi havifundishwi kwa ukweli,japo inaelezwa Mungu ndiye muumba viumbe vyote akiwemo shetani, ile the voices from within inaniambia sio kweli, mwanzo wa Mungu ndio mwanzo wa shetani, Mungu ana nguvu za mwanga,powers of light, shetani ana nguvu za giza,powers of darkness, japo Mungu ana nguvu zaidi ya shetani,ila hawezi kumwangamiza shetani,Kwa nini anaruhusu shetani kutamalaki na kutambua na kutesa watu??
Njia ile ni nyembamba inayokwenda uzimani,halafu njia ya kwenda motoni ni pana. Mungu ana nguvu zaidi ya shetani, ila shetani pia ana nguvu ni ominipotent na omnipresent Hivi Mungu amemshindwa shetani kabisa? Basi shetani tumpe maua yakeNa maovu nu mengi kuliko mema, je nguvu ya shetani imezidi ya Mungu?
Mungu wa kwenye Bible Takatifu ndiye yule yule wa kwenye Quran Tukufu,aliyewaumba Adam na Hawa,Wakristo na Waislamu, ni watoto wa baba Nabii Ibrahim,Waislamu ni uzao wa Ismail, Wakristu uzao wa Isaka, sheria ya Mungu kwa dini zote mbili ni sheria moja ya Mussa kwenye Totati。Siyo kweli hao ni tofauti kabisa. Hakuna mfanano.
ubarikiwe sana,Katika mizee inayozeeka vibaya humu JF na wewe upo..!!
kosa langu,ni siandikii vilaza,kwa taarifa yako,wenye vichwa vyao,tuko nao sana!Hivi hizi links za magazeti yako kuna mtu atakaa apoteze muda kuyasoma?
Kipimo changu cha vilaza,ni wanaonisoma na kuniona chawa!Kuna siku nilijaribu hata sikumaliza ni uchawa tupu..!! 😹😹
Unajuaje kama mafundisho yanayosema tawala zote zinatoka kwa mungu sio mafundisho ya ukweli?Kiukweli kuna vitu vingi havifundishwi kwa ukweli,japo inaelezwa Mungu ndiye muumba viumbe vyote akiwemo shetani, ile the voices from within inaniambia sio kweli, mwanzo wa Mungu ndio mwanzo wa shetani, Mungu ana nguvu za mwanga,powers of light, shetani ana nguvu za giza,powers of darkness, japo Mungu ana nguvu zaidi ya shetani,ila hawezi kumwangamiza shetani,
ndio maana shetani anatamalaki!Hivi Mungu amemshindwa shetani kabisa? Basi shetani tumpe maua yake
P
its a formula Mungu ndiye muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo, hata wachawi,majini,wanga na mashetani,wameumbwa na Mungu,ni Mungu huweka tawala zote za mataifa yote hata zile tawala za kishetani, kama ilivyo binadamu wote ni wa Mungu hata kama wanamtumikia shetani,hata wachawi na wsshirikina ni watu wa Mungu!Unajuaje kama mafundisho yanayosema tawala zote zinatoka kwa mungu sio mafundisho ya ukweli?
Sasa kwa nini unasema tena mungu hajamuumba shetani?!its a formula Mungu ndiye muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo, hata wachawi,majini,wanga na mashetani,wameumbwa na Mungu,ni Mungu huweka tawala zote za mataifa yote hata zile tawala za kishetani, kama ilivyo binadamu wote ni wa Mungu hata kama wanamtumikia shetani,hata wachawi na wsshirikina ni watu wa Mungu!
P
Hakuna hata siku moja Mungu wa wakristo atakuwa mungu wa waislamu. Hao ni kama NURU na giza!Mungu wa kwenye Bible Takatifu ndiye yule yule wa kwenye Quran Tukufu,aliyewaumba Adam na Hawa,Wakristo na Waislamu, ni watoto wa baba Nabii Ibrahim,Waislamu ni uzao wa Ismail, Wakristu uzao wa Isaka, sheria ya Mungu kwa dini zote mbili ni sheria moja ya Mussa kwenye Totati。
P
vitu vingine ni kutumia tuu comon sense logic,Sasa kwa nini unasema tena mungu hajamuumba shetani?!