Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 6,941 Reaction score 7,808 Jan 30, 2025 #1 Mungu tenda miujiza yako kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka huu 2025 CCM ishindwe sababu wamejimilikisha ukuu wako. Your browser is not able to display this video. “kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu. ” — Luka 1:37 (Biblia Takatifu) GOD BLESS TANGANYIKA
Mungu tenda miujiza yako kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka huu 2025 CCM ishindwe sababu wamejimilikisha ukuu wako. Your browser is not able to display this video. “kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu. ” — Luka 1:37 (Biblia Takatifu) GOD BLESS TANGANYIKA
Bams JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 19,362 Reaction score 48,879 Jan 30, 2025 #2 Amini, mwaka huu ni wa mwisho kufungwa kongwa za utumwa wa CCM. Na CCM itapotea taratibu kama ilivyotokea kwa KANU ya kenya.
Amini, mwaka huu ni wa mwisho kufungwa kongwa za utumwa wa CCM. Na CCM itapotea taratibu kama ilivyotokea kwa KANU ya kenya.
M movirwa Senior Member Joined Sep 9, 2024 Posts 144 Reaction score 145 Jan 30, 2025 #3 Kitimoto said: Mungu tenda miujiza yako kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka huu 2025 CCM ishindwe sababu wamejimilikisha ukuu wako. View attachment 3218910 “kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu. ” — Luka 1:37 (Biblia Takatifu) GOD BLESS TANGANYIKA Click to expand... Prayer starts where human capacity ends! 😂😂
Kitimoto said: Mungu tenda miujiza yako kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka huu 2025 CCM ishindwe sababu wamejimilikisha ukuu wako. View attachment 3218910 “kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu. ” — Luka 1:37 (Biblia Takatifu) GOD BLESS TANGANYIKA Click to expand... Prayer starts where human capacity ends! 😂😂