Mungu kuna kelele nyingi za kuogofya ila wewe utabaki kuwa Mungu.
Iwe ni kwa sumu iwe ni kwa risasi tunaomba Taifa letu lisiingie kwenye majonzi sababu ya Dr Mchimbi tunaomba umtunze na umfunike kama ulivyo mfunika Daniel mbele ya watesi wake.
Kifo anazushiwa au kuandaliwa kisimkute wala kisimuweze kama ulivyo funga taya za simba mbele ya Daniel. Kifunge kifo mbele ya huyu kiongozi.
Ili taifa libaki na umoja ila wanao panga na kudhamiria wakutane na mkono wako mkuu na ikawe fundisho ktk serikali na kila idara yakuwa dhuluma juu ya mwenye haki haijawai kuwaacha watu salama.
Mungu naamuru jeshi la malaika na ulinzi juu ya huyu kiongozi ijulikane Mungu upo. Amen