Sio mm ila Alie nituma. NIKO AMBAYE NIKOWe jamaa unapenda sana nyuzi za vifo , tangu nakujua humu Jf thread zako zote ni kutabiri mambo mabaya tu kwenyrle nchi.
Bahati nzuri ni kwamba yot unayoandika halijawahi tokea hata moja
Vipi kwani Samia anataka kupita na Makamu wake?Mungu kuna kelele nyingi za kuogofya ila wewe utabaki kuwa Mungu.
Iwe ni kwa sumu iwe ni kwa risasi tunaomba Taifa letu lisiingie kwenye majonzi sababu ya Dr Mchimbi tunaomba umtunze na umfunike kama ulivyo mfunika Daniel mbele ya watesi wake.
Kifo anazushiwa au kuandaliwa kisimkute wala kisimuweze kama ulivyo funga taya za simba mbele ya Daniel. Kifunge kifo mbele ya huyu kiongozi.
Ili taifa libaki na umoja ila wanao panga na kudhamiria wakutane na mkono wako mkuu na ikawe fundisho ktk serikali na kila idara yakuwa dhuluma juu ya mwenye haki haijawai kuwaacha watu salama.
Mungu naamuru jeshi la malaika na ulinzi juu ya huyu kiongozi ijulikane Mungu upo. Amen
Unajua tumia akili ni nani kwanza ? Jk huyo anawachora na huyo Makonda ni team mtandao alimsandia sana Membe kipindi cha Magu tulieniThe onion has many layers,de 'levis!
"Makonda kuwa waziri kwenye wizara nyeti 2025,2030 kuwa the next magu" Uzi wa magamba matatu!
Kwenye Uzi magamba anamuita makonda kama "Brother"
Sasa basi Tumia akili nae anakoleza mei 22 ,2025 "Brother haya ndio mambo yatakayokupasa siku zijazo"
Anamtaja mhusika kuwa "Brother" lakini!!?
Kwanini Magamba matatu anamuita makonda brother na kumhusisha kuwa the next magu 2030!!? halafu Tena Tumia akili nae anamuita Brother asiejulikana kwamba anakuja kufanya reforms!!?
Sasa basi kijasusi ni kwamba baada ya mtego wa mauaji ya October 29 na Tanzania kufungulia mashtaka ICC plus wahisani wakuu wa enzi na enzi kutupa kisogo kwenye misaada ya maendeleo!!kukwepa mbinyo huo na kurudisha Imani kwa wahisani coz hatuwezi bila wao,Basi ikulu inapaswa kusafishwa upya wapatikane wapya ambao wanaweza walau kufanya compromise machoni pa wafadhili na wananchi!!!
MAWAZO HURU SASA HAYA,WALA SUO UKWELI WA MAMBO:-
1.Anapigwa namba mbili kimedani ,sio kwamba ana kosa!hapana kwaajili ya neema machoni pa wahisani halafu anateuliwa brother "kinda boy" kuwa namba mbili!!!!!!(ndio maana kateuliwa kuwa kamatu kuu ya chama).
2.Baada ya namba mbili kuteuliwa then namba Moja anajiuzulu akiamini madaraka yatakua mikononi salama au atalazimishwa kujiuzulu kimedani (sitaki kuhalalisha jambo hapa,elewa hivyo hivyo !) ,Then namba mbili mpya anakua namba moja,happy anaweza teua mzanzibari mwingine kuwa namba mbili!Mwendo unakua mpera mpera Tena kama enzi za magu vile Hadi 2030 kabla hajagombea tena!!
NB:-
Wakati akiwa katibu mwenezi Koda aliwahi SEMA"lazima tujenge utamaduni wa kuheshimiana ,kwasababu huwezi Juan kesho naweza kuwa nani,tuheshimiane"!
Sentence hizo zinapigia mstari andiko la magamba matatu na la Tumia akili!!
Mimi mwenzenu Kato,nawaza na kuwazua Wala sio mjuvi wa mambo haya !!
KAZI na utu,hebu tusonge mbele!!
Mungu ibariki Tanzania!
Ina maana jk ndio ana nondo zote hizo!!?Unajua tumia akili ni nani kwanza ? Jk huyo anawachora na huyo Makonda ni team mtandao alimsandia sana Membe kipindi cha Magu tulieni
Unajua tumia akili ni nani kwanza ? Jk huyo anawachora na huyo Makonda ni team mtandao alimsandia sana Membe kipindi cha Magu tulieni
Nilitaka kushangaa Mimi!!Hahaha sio JK wala, Ni mtu mwingine tofauti.
MhhhMungu kuna kelele nyingi za kuogofya ila wewe utabaki kuwa Mungu.
Iwe ni kwa sumu iwe ni kwa risasi tunaomba Taifa letu lisiingie kwenye majonzi sababu ya Dr Mchimbi tunaomba umtunze na umfunike kama ulivyo mfunika Daniel mbele ya watesi wake.
Kifo anazushiwa au kuandaliwa kisimkute wala kisimuweze kama ulivyo funga taya za simba mbele ya Daniel. Kifunge kifo mbele ya huyu kiongozi.
Ili taifa libaki na umoja ila wanao panga na kudhamiria wakutane na mkono wako mkuu na ikawe fundisho ktk serikali na kila idara yakuwa dhuluma juu ya mwenye haki haijawai kuwaacha watu salama.
Mungu naamuru jeshi la malaika na ulinzi juu ya huyu kiongozi ijulikane Mungu upo. Amen
Nilitaka kushangaa Mimi!!
Yale mashairi sio ya kawaida!
Bora comrade wa newala mkuchika aliamua kustaafu na wenye hekima waliamua kufuata nyayo zake!!
Ukigoma kustaafu ili kuwaachia vijana ni lazima utastaafishwa kimedani kama nionavyo!!
Wakongwe wajiandae kustaafishwa tu kama wameng'ang'ania mjengoni!!!
Post kama hizi ni za "wabobezi na wajuvi wa mambo" hata wale wapiga ndulu wa muda wote kama kina Msambwanda wanakaa pembeniThe onion has many layers,de 'levis!
"Makonda kuwa waziri kwenye wizara nyeti 2025,2030 kuwa the next magu" Uzi wa magamba matatu!
Kwenye Uzi magamba anamuita makonda kama "Brother"
Sasa basi Tumia akili nae anakoleza mei 22 ,2025 "Brother haya ndio mambo yatakayokupasa siku zijazo"
Anamtaja mhusika kuwa "Brother" lakini!!?
Kwanini Magamba matatu anamuita makonda brother na kumhusisha kuwa the next magu 2030!!? halafu Tena Tumia akili nae anamuita Brother asiejulikana kwamba anakuja kufanya reforms!!?
Sasa basi kijasusi ni kwamba baada ya mtego wa mauaji ya October 29 na Tanzania kufungulia mashtaka ICC plus wahisani wakuu wa enzi na enzi kutupa kisogo kwenye misaada ya maendeleo!!kukwepa mbinyo huo na kurudisha Imani kwa wahisani coz hatuwezi bila wao,Basi ikulu inapaswa kusafishwa upya wapatikane wapya ambao wanaweza walau kufanya compromise machoni pa wafadhili na wananchi!!!
MAWAZO HURU SASA HAYA,WALA SUO UKWELI WA MAMBO:-
1.Anapigwa namba mbili kimedani ,sio kwamba ana kosa!hapana kwaajili ya neema machoni pa wahisani halafu anateuliwa brother "kinda boy" kuwa namba mbili!!!!!!(ndio maana kateuliwa kuwa kamatu kuu ya chama).
2.Baada ya namba mbili kuteuliwa then namba Moja anajiuzulu akiamini madaraka yatakua mikononi salama au atalazimishwa kujiuzulu kimedani (sitaki kuhalalisha jambo hapa,elewa hivyo hivyo !) ,Then namba mbili mpya anakua namba moja,happy anaweza teua mzanzibari mwingine kuwa namba mbili!Mwendo unakua mpera mpera Tena kama enzi za magu vile Hadi 2030 kabla hajagombea tena!!
NB:-
Wakati akiwa katibu mwenezi Koda aliwahi SEMA"lazima tujenge utamaduni wa kuheshimiana ,kwasababu huwezi Juan kesho naweza kuwa nani,tuheshimiane"!
Sentence hizo zinapigia mstari andiko la magamba matatu na la Tumia akili!!
Mimi mwenzenu Kato,nawaza na kuwazua Wala sio mjuvi wa mambo haya !!
KAZI na utu,hebu tusonge mbele!!
Mungu ibariki Tanzania!
Jamaa akiongea hua naona Kuna matumaini na hii countryPost kama hizi ni za "wabobezi na wajuvi wa mambo" hata wale wapiga ndulu wa muda wote kama kina Msambwanda wanakaa pembeni
Yote kwa yote, hivi kwanini huyo msaidizi wa dereva anatajwa tajwa sana kukalia kiti kikubwa? Ana nini cha ziada hadi aonekane anafaa kutosha kwenye hicho kiti?
🙏🏿🧎🏿♂️Baba wa mbinguni, Tunakuja mbele zako kwa unyenyekevu na shukrani, tukikuomba umlinde mtumishi wako Daktari Nchimbi.
Mfunike kwa damu ya Yesu Kristo, na umzungushe kwa ulinzi wako mchana na usiku.
Bwana, mlinde na mabaya yote, ajali, magonjwa, hila za adui na kila hatari ionekanayo na isiyoonekana.
Mpe afya njema, nguvu za mwili na amani ya moyo.
Mpe hekima katika kazi yake, baraka katika mikono yake, na neema katika kila hatua anayoichukua.
Ee Mungu, malaika wako wakae pamoja naye kila mahali aendapo.
Kila silaha itakayoinuliwa dhidi yake na isifanikiwe,
na kila neno baya lililonenwa dhidi yake lirudishwe bure kwa jina la Yesu.
Tunakuachia maisha yake, familia yake, na kazi yake mikononi mwako,
kwa maana wewe ndiwe mlinzi wetu wa kweli, sasa na milele.
Amina.
mmmh ngoj tuone watu mnacheza draft hatariThe onion has many layers,de 'levis!
"Makonda kuwa waziri kwenye wizara nyeti 2025,2030 kuwa the next magu" Uzi wa magamba matatu!
Kwenye Uzi magamba anamuita makonda kama "Brother"
Sasa basi Tumia akili nae anakoleza mei 22 ,2025 "Brother haya ndio mambo yatakayokupasa siku zijazo"
Anamtaja mhusika kuwa "Brother" lakini!!?
Kwanini Magamba matatu anamuita makonda brother na kumhusisha kuwa the next magu 2030!!? halafu Tena Tumia akili nae anamuita Brother asiejulikana kwamba anakuja kufanya reforms!!?
Sasa basi kijasusi ni kwamba baada ya mtego wa mauaji ya October 29 na Tanzania kufungulia mashtaka ICC plus wahisani wakuu wa enzi na enzi kutupa kisogo kwenye misaada ya maendeleo!!kukwepa mbinyo huo na kurudisha Imani kwa wahisani coz hatuwezi bila wao,Basi ikulu inapaswa kusafishwa upya wapatikane wapya ambao wanaweza walau kufanya compromise machoni pa wafadhili na wananchi!!!
MAWAZO HURU SASA HAYA,WALA SUO UKWELI WA MAMBO:-
1.Anapigwa namba mbili kimedani ,sio kwamba ana kosa!hapana kwaajili ya neema machoni pa wahisani halafu anateuliwa brother "kinda boy" kuwa namba mbili!!!!!!(ndio maana kateuliwa kuwa kamatu kuu ya chama).
2.Baada ya namba mbili kuteuliwa then namba Moja anajiuzulu akiamini madaraka yatakua mikononi salama au atalazimishwa kujiuzulu kimedani (sitaki kuhalalisha jambo hapa,elewa hivyo hivyo !) ,Then namba mbili mpya anakua namba moja,happy anaweza teua mzanzibari mwingine kuwa namba mbili!Mwendo unakua mpera mpera Tena kama enzi za magu vile Hadi 2030 kabla hajagombea tena!!
NB:-
Wakati akiwa katibu mwenezi Koda aliwahi SEMA"lazima tujenge utamaduni wa kuheshimiana ,kwasababu huwezi Juan kesho naweza kuwa nani,tuheshimiane"!
Sentence hizo zinapigia mstari andiko la magamba matatu na la Tumia akili!!
Mimi mwenzenu Kato,nawaza na kuwazua Wala sio mjuvi wa mambo haya !!
KAZI na utu,hebu tusonge mbele!!
Mungu ibariki Tanzania!
Speculation TU mkuu!!sio wajuvi pia wa mambo hayammmh ngoj tuone watu mnacheza draft hatari
Waache WAUANEMungu kuna kelele nyingi za kuogofya ila wewe utabaki kuwa Mungu.