Neutral Man ZT
JF-Expert Member
- Sep 5, 2025
- 501
- 990
John Mongela/ .......Halafu ampe Bashite hicho cheo
John Mongela/ .......Halafu ampe Bashite hicho cheo
Wajihadhari au Wajiandae?Huyo hajatabiri bali aliwaambia wajihadhari na kifo kilichopangwa mbele yao maana anaijua mikakati inayojadiliwa ,na hata ili la Nchimbi anajua mission zake kwamba naye amewekwa kwenye 18.
Hanaga rafiki Wala adui wa kudumuYule mngoni ni best ake JK hawawezi kutake chance hata sekunde moja, kama ni mpango wa yule kijana basi wanadanganyana
Operation tokomeza?Emmanuel Nchimbi alikuwa na kejeli sana kwa vilio vya wananchi wanoatekwa na kupoteza. Alifikiri hatafikiwa
Huyu Balozi mstaafu kawa mhanga wa siasa za makundi ya kupigania madaraka ndani ya Ccm.
Yule mngoni ni best ake JK hawawezi kutake chance hata sekunde moja, kama ni mpango wa yule kijana basi wanadanganyana
Kwani hili nalo alishauriwa na washauri wake wapya Kassim na Mpango, aliowateua hivi karibuni; au ni ushauri ule ule kutoka Msoga?Nilidhani ni masihara kumbe ni kweli Samuya amedhamiria kumuua makamu wake
Kuna mkanganyiko mkubwa sana, na watu hawawezi kuwa na kumbukumbu za aina hii uliyoiibua wewe hapa.huo ubest umeanzia lini na wapi? hivi ni nani aliyeimba tuna “imani na Lowasa”? …
Sasa hivi kuna jopo la waganga kutoka Nigeria ndiyo washauri wake wakubwa.Kwani hili nalo alishauriwa na washauri wake wapya Kassim na Mpango, aliowateua hivi karibuni; au ni ushauri ule ule kutoka Msoga?
Napata shida sana kushiriki kwenye mada mbovu kama hii, lakini imenibidi niulize hili swali; kama kuna mwenye jibu.
Hii ni mada ya ku IGNORE na kuitupa kwenye trash bin🗑 .Mungu kuna kelele nyingi za kuogofya ila wewe utabaki kuwa Mungu.
Iwe ni kwa sumu iwe ni kwa risasi tunaomba Taifa letu lisiingie kwenye majonzi sababu ya Dr Mchimbi tunaomba umtunze na umfunike kama ulivyo mfunika Daniel mbele ya watesi wake.
Kifo anazushiwa au kuandaliwa kisimkute wala kisimuweze kama ulivyo funga taya za simba mbele ya Daniel. Kifunge kifo mbele ya huyu kiongozi.
Ili taifa libaki na umoja ila wanao panga na kudhamiria wakutane na mkono wako mkuu na ikawe fundisho ktk serikali na kila idara yakuwa dhuluma juu ya mwenye haki haijawai kuwaacha watu salama.
Mungu naamuru jeshi la malaika na ulinzi juu ya huyu kiongozi ijulikane Mungu upo. Amen
Wanaoamini mashetani wanamuona amewasaliti kwa kuwa neutral kwenye uharamia waoMungu kuna kelele nyingi za kuogofya ila wewe utabaki kuwa Mungu.
Iwe ni kwa sumu iwe ni kwa risasi tunaomba Taifa letu lisiingie kwenye majonzi sababu ya Dr Mchimbi tunaomba umtunze na umfunike kama ulivyo mfunika Daniel mbele ya watesi wake.
Kifo anazushiwa au kuandaliwa kisimkute wala kisimuweze kama ulivyo funga taya za simba mbele ya Daniel. Kifunge kifo mbele ya huyu kiongozi.
Ili taifa libaki na umoja ila wanao panga na kudhamiria wakutane na mkono wako mkuu na ikawe fundisho ktk serikali na kila idara yakuwa dhuluma juu ya mwenye haki haijawai kuwaacha watu salama.
Mungu naamuru jeshi la malaika na ulinzi juu ya huyu kiongozi ijulikane Mungu upo. Amen
Wajihadhari au Wajiandae?