Mungu tunaomba usiruhusu Madhara yoyote kwa Dr Nchimbi

Mungu tunaomba usiruhusu Madhara yoyote kwa Dr Nchimbi

Mungu kuna kelele nyingi za kuogofya ila wewe utabaki kuwa Mungu. Iwe ni kwa sumu iwe ni kwa risasi tunaomba Taifa letu lisiingie kwenye majonzi sababu ya Dr Mchimbi tunaomba umtunze na umfunike kama ulivyo mfunika Daniel mbele ya watesi wake. Kifo anazushiwa au kuandaliwa kisimkute wala kisimuweze kama ulivyo funga taya za simba mbele ya Daniel. Kifunge kifo mbele ya huyu kiongozi. Ili taifa libaki na umoja ila wanao panga na kudhamiria wakutane na mkono wako mkuu na ikawe fundisho ktk serikali na kila idara yakuwa dhuluma juu ya mwenye haki haijawai kuwaacha watu salama. Mungu naamuru jeshi la malaika na ulinzi juu ya huyu kiongozi ijulikane Mungu upo. Amen
Unamwombea afya kwani kwenye madhila tunayopitia sisi watanganyika yeye hausiki? Yupo ndani ya ccm na serekali kwa miaka na mikaka.
Kifo kwa kiongozi wa ccm na serekali yake ambayo haina uhalali kwangu mimi hakina machozi.
 
NASKIA KANISA KATOLIKI LIMEMCHUKIA KISA KULA KWAKE KIAPO KUFANYA KAZI NA RAIS SAMIA...YANI HILO KANISA LINA LAANA KUBWA SANA
 
Emmanuel Nchimbi alikuwa na kejeli sana kwa vilio vya wananchi wanoatekwa na kupoteza. Alifikiri hatafikiwa

HIZO NI DRAMA ZENU TUH KANISA KATOLIKI...NA HAMTAFANIKIWA KENGE NYINYI

KWANI KANISA MNAJIONA NYINYI NI NANI HASA NDANI YA TAIFA HILI?
 
Zile ziara kuwatembelea wastaafu alitumwa au alijituma!? Maana baada ya pale ikawa AWOL
 
Back
Top Bottom