Mungu tunaomba usiruhusu Madhara yoyote kwa Dr Nchimbi

Mungu tunaomba usiruhusu Madhara yoyote kwa Dr Nchimbi

Mungu kuna kelele nyingi za kuogofya ila wewe utabaki kuwa Mungu.

Iwe ni kwa sumu iwe ni kwa risasi tunaomba Taifa letu lisiingie kwenye majonzi sababu ya Dr Mchimbi tunaomba umtunze na umfunike kama ulivyo mfunika Daniel mbele ya watesi wake.

Kifo anazushiwa au kuandaliwa kisimkute wala kisimuweze kama ulivyo funga taya za simba mbele ya Daniel. Kifunge kifo mbele ya huyu kiongozi.

Ili taifa libaki na umoja ila wanao panga na kudhamiria wakutane na mkono wako mkuu na ikawe fundisho ktk serikali na kila idara yakuwa dhuluma juu ya mwenye haki haijawai kuwaacha watu salama.

Mungu naamuru jeshi la malaika na ulinzi juu ya huyu kiongozi ijulikane Mungu upo. Amen
Kwa hiyo yuko nazem hospital au nae yuko chimbo kama yeye mwenyewe maana wamepotea wote
 
Zile ziara kuwatembelea wastaafu alitumwa au alijituma!? Maana baada ya pale ikawa AWOL
Mkuu unless watu mna habari za ndani kabisa, za kuaminika, CCM wanaweza kutengeneza ugomvi wa uongo kati yao ili mambo yao yafanikiwe. Hili la muuaji na makamu kuhitilafiana nimelisikia sana lakini nikawa najiuliza: Isije ikawa ugomvi wa kutengeneza!!
 
Samia hana uvumilivu wa mtu yoyote aliye na fikra huru, maarufu kupita yeye, mchapakazi au smart kuliko yeye. Kwake hilo ni kosa kubwa adhabu yake ni kukutengua.

Tuna mifano mingi kama Simbachawene, Lukuvi, Jerry Slaa wizara ya ardhi, Mulamula, wakuu wa TISS waliokataa ujinga wake.
 
Kwahyo siku hizi akifa mkatolik samia ndo kamuua sio Mungu Tena?

Bas tunaomba hii miaka yake wafe kobaz tu wakristo wasife
 
Back
Top Bottom