Mungu tunayemwabudu ni huyu aliyeamuru kufanyika mauaji ya kimbari?

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Mauaji ya kimbari au mauaji ya halaiki ni uhalifu unaotambuliwa kimataifa ambapo vitendo vinafanywa kwa nia ya kuharibu, kwa ujumla au kwa sehemu, kikundi cha kitaifa, kikabila, cha rangi au cha kidini.
Miaka elfu kadhaa iliyopita huko Mashariki ya kati kupitia mwongozo kutoka kwa Mungu mwenyewe kulifanyika mauaji ya kimbari ya kuangamiza waamaleki wote pamoja na mali zao. Nabii Samweli alimuelekeza Mfalme Sauli kuhakikisha anaangamiza waamaleki wote pamoja na vitu walivyo navyo ikiwemo mifugo. Ni kweli waisraeli waliua waamaleki wote. Soma hapa:

1 Samuel 15: 1 - 3
1 Wakati huo Samweli akamwambia Sauli, Bwana alinipeleka nikutie mafuta, uwe mfalme wa watu wake Israeli; basi sasa, isikilize sauti na maneno ya Bwana.
2 Bwana wa majeshi asema hivi, Nimeyatia moyoni mwangu mambo hayo Amaleki waliyowatenda Israeli, jinsi walivyowapinga njiani, hapo walipopanda kutoka Misri.
3 Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.

Mimi ninadhani nahitaji kuelimishwa zaidi kama Mungu huyu tunayemwabudu ndo huyu aliyefanikisha mauaji hadi ya watoto wadogo aliowaumba mwenyewe. Je, akijitokeza "Nabii" na kusema kaelekezwa na Mungu tukawaue na kuwapoteza kabisa nchi jirani yetu atakuwa sahihi kwa kuangalia hii historia?
 
Hiyo kitu haikubaliki hata kidogo. Kila jamii ina haki ya kuishi
 
Umeona kinacho endelea Gaza ?
 
Ndiyo huyo huyo Mungu mnae muabudu sio mwingine haah
 
Hili suala ni gumu sana..nikiangalia vita ya Gaza huwa nachoka kabisa
 
Ukiona hivyo ujue hayo ni maneno ya watu.
Kwenye uislamu huwezi kukuta porojo kama hizo.Ikitajwa kuwaua ni wale ambao wamechokoza na kukanusha Mungu wazi wazi.Wanyama na miti hutakiwi kuvigusa.
 
Inachekesha sana kama tu ilivyo CCM ya Samia.
 
Ndio huyo huyo mkuu. Sasa unatakaje wee chawa?

Nyau de adriz
 
Ukiona hivyo ujue hayo ni maneno ya watu.
Kwenye uislamu huwezi kukuta porojo kama hizo.Ikitajwa kuwaua ni wale ambao wamechokoza na kukanusha Mungu wazi wazi.Wanyama na miti hutakiwi kuvigusa.
Jomba mbona unaongea kitu kilekile? Kama Mungu anaruhusu watu wauwane kisa amekanwa basi hafai.
 
Wangekuwa na Mungu wasingeuwana.
Ukimuacha Mungu nae anakuacha.
Hao walimuacha Mungu wakauwana, wangekuwa na Mungu angewalinda
 
Umeona kinacho endelea Gaza ?
Kinachoendelea Gaza ni sehemu ya mipango ya Rumi [Vatican],UN na Marekani.
Mpango huo ulidhihirishwa mwaka 2012 kwa njia ya sanaa ya mchoro;
Screenshot_20240804-112152.png

Itazame vizuri na kwa utulivu hii sanaa ya mchoro,imeweka wazi mpango mzima wa vurugu na machafuko yanayoendelea duniani nyakati hizi,namna chokochoko za vita ya Gaza na Israel sambamba na vita baridi kwa baadhi ya mataifa makubwa, jambo kubwa hapo ni jinsi mawakala wa shetani wanavyo ratibu mipango yote.
 
Back
Top Bottom