MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Umeona kinacho endelea Gaza ?Mauaji ya kimbari au mauaji ya halaiki ni uhalifu unaotambuliwa kimataifa ambapo vitendo vinafanywa kwa nia ya kuharibu, kwa ujumla au kwa sehemu, kikundi cha kitaifa, kikabila, cha rangi au cha kidini.
Miaka elfu kadhaa iliyopita huko Mashariki ya kati kupitia mwongozo kutoka kwa Mungu mwenyewe kulifanyika mauaji ya kimbari ya kuangamiza waamaleki wote pamoja na mali zao. Nabii Samweli alimuelekeza Mfalme Sauli kuhakikisha anaangamiza waamaleki wote pamoja na vitu walivyo navyo ikiwemo mifugo. Ni kweli waisraeli waliua waamaleki wote. Soma hapa:
1 Samuel 15: 1 - 3
1 Wakati huo Samweli akamwambia Sauli, Bwana alinipeleka nikutie mafuta, uwe mfalme wa watu wake Israeli; basi sasa, isikilize sauti na maneno ya Bwana.
2 Bwana wa majeshi asema hivi, Nimeyatia moyoni mwangu mambo hayo Amaleki waliyowatenda Israeli, jinsi walivyowapinga njiani, hapo walipopanda kutoka Misri.
3 Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.
Mimi ninadhani nahitaji kuelimishwa zaidi kama Mungu huyu tunayemwabudu ndo huyu aliyefanikisha mauaji hadi ya watoto wadogo aliowaumba mwenyewe. Je, akijitokeza "Nabii" na kusema kaelekezwa na Mungu tukawaue na kuwapoteza kabisa nchi jirani yetu atakuwa sahihi kwa kuangalia hii historia?
Ndiyo huyo huyo Mungu mnae muabudu sio mwingine haahMauaji ya kimbari au mauaji ya halaiki ni uhalifu unaotambuliwa kimataifa ambapo vitendo vinafanywa kwa nia ya kuharibu, kwa ujumla au kwa sehemu, kikundi cha kitaifa, kikabila, cha rangi au cha kidini.
Miaka elfu kadhaa iliyopita huko Mashariki ya kati kupitia mwongozo kutoka kwa Mungu mwenyewe kulifanyika mauaji ya kimbari ya kuangamiza waamaleki wote pamoja na mali zao. Nabii Samweli alimuelekeza Mfalme Sauli kuhakikisha anaangamiza waamaleki wote pamoja na vitu walivyo navyo ikiwemo mifugo. Ni kweli waisraeli waliua waamaleki wote. Soma hapa:
1 Samuel 15: 1 - 3
1 Wakati huo Samweli akamwambia Sauli, Bwana alinipeleka nikutie mafuta, uwe mfalme wa watu wake Israeli; basi sasa, isikilize sauti na maneno ya Bwana.
2 Bwana wa majeshi asema hivi, Nimeyatia moyoni mwangu mambo hayo Amaleki waliyowatenda Israeli, jinsi walivyowapinga njiani, hapo walipopanda kutoka Misri.
3 Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.
Mimi ninadhani nahitaji kuelimishwa zaidi kama Mungu huyu tunayemwabudu ndo huyu aliyefanikisha mauaji hadi ya watoto wadogo aliowaumba mwenyewe. Je, akijitokeza "Nabii" na kusema kaelekezwa na Mungu tukawaue na kuwapoteza kabisa nchi jirani yetu atakuwa sahihi kwa kuangalia hii historia?
Kwani Mungu ndo anapigana huko Gaza?Umeona kinacho endelea Gaza ?
Kwani Mungu ndo anapigana huko Gaza?
Umeona kinacho endelea Gaza ?
Ukiona hivyo ujue hayo ni maneno ya watu.Mauaji ya kimbari au mauaji ya halaiki ni uhalifu unaotambuliwa kimataifa ambapo vitendo vinafanywa kwa nia ya kuharibu, kwa ujumla au kwa sehemu, kikundi cha kitaifa, kikabila, cha rangi au cha kidini.
Miaka elfu kadhaa iliyopita huko Mashariki ya kati kupitia mwongozo kutoka kwa Mungu mwenyewe kulifanyika mauaji ya kimbari ya kuangamiza waamaleki wote pamoja na mali zao. Nabii Samweli alimuelekeza Mfalme Sauli kuhakikisha anaangamiza waamaleki wote pamoja na vitu walivyo navyo ikiwemo mifugo. Ni kweli waisraeli waliua waamaleki wote. Soma hapa:
1 Samuel 15: 1 - 3
1 Wakati huo Samweli akamwambia Sauli, Bwana alinipeleka nikutie mafuta, uwe mfalme wa watu wake Israeli; basi sasa, isikilize sauti na maneno ya Bwana.
2 Bwana wa majeshi asema hivi, Nimeyatia moyoni mwangu mambo hayo Amaleki waliyowatenda Israeli, jinsi walivyowapinga njiani, hapo walipopanda kutoka Misri.
3 Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.
Mimi ninadhani nahitaji kuelimishwa zaidi kama Mungu huyu tunayemwabudu ndo huyu aliyefanikisha mauaji hadi ya watoto wadogo aliowaumba mwenyewe. Je, akijitokeza "Nabii" na kusema kaelekezwa na Mungu tukawaue na kuwapoteza kabisa nchi jirani yetu atakuwa sahihi kwa kuangalia hii historia?
Mauaji ya kimbari au mauaji ya halaiki ni uhalifu unaotambuliwa kimataifa ambapo vitendo vinafanywa kwa nia ya kuharibu, kwa ujumla au kwa sehemu, kikundi cha kitaifa, kikabila, cha rangi au cha kidini.
Miaka elfu kadhaa iliyopita huko Mashariki ya kati kupitia mwongozo kutoka kwa Mungu mwenyewe kulifanyika mauaji ya kimbari ya kuangamiza waamaleki wote pamoja na mali zao. Nabii Samweli alimuelekeza Mfalme Sauli kuhakikisha anaangamiza waamaleki wote pamoja na vitu walivyo navyo ikiwemo mifugo. Ni kweli waisraeli waliua waamaleki wote. Soma hapa:
1 Samuel 15: 1 - 3
1 Wakati huo Samweli akamwambia Sauli, Bwana alinipeleka nikutie mafuta, uwe mfalme wa watu wake Israeli; basi sasa, isikilize sauti na maneno ya Bwana.
2 Bwana wa majeshi asema hivi, Nimeyatia moyoni mwangu mambo hayo Amaleki waliyowatenda Israeli, jinsi walivyowapinga njiani, hapo walipopanda kutoka Misri.
3 Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.
Mimi ninadhani nahitaji kuelimishwa zaidi kama Mungu huyu tunayemwabudu ndo huyu aliyefanikisha mauaji hadi ya watoto wadogo aliowaumba mwenyewe. Je, akijitokeza "Nabii" na kusema kaelekezwa na Mungu tukawaue na kuwapoteza kabisa nchi jirani yetu atakuwa sahihi kwa kuangalia hii historia?
Ndio huyo huyo mkuu. Sasa unatakaje wee chawa?Mauaji ya kimbari au mauaji ya halaiki ni uhalifu unaotambuliwa kimataifa ambapo vitendo vinafanywa kwa nia ya kuharibu, kwa ujumla au kwa sehemu, kikundi cha kitaifa, kikabila, cha rangi au cha kidini.
Miaka elfu kadhaa iliyopita huko Mashariki ya kati kupitia mwongozo kutoka kwa Mungu mwenyewe kulifanyika mauaji ya kimbari ya kuangamiza waamaleki wote pamoja na mali zao. Nabii Samweli alimuelekeza Mfalme Sauli kuhakikisha anaangamiza waamaleki wote pamoja na vitu walivyo navyo ikiwemo mifugo. Ni kweli waisraeli waliua waamaleki wote. Soma hapa:
1 Samuel 15: 1 - 3
1 Wakati huo Samweli akamwambia Sauli, Bwana alinipeleka nikutie mafuta, uwe mfalme wa watu wake Israeli; basi sasa, isikilize sauti na maneno ya Bwana.
2 Bwana wa majeshi asema hivi, Nimeyatia moyoni mwangu mambo hayo Amaleki waliyowatenda Israeli, jinsi walivyowapinga njiani, hapo walipopanda kutoka Misri.
3 Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.
Mimi ninadhani nahitaji kuelimishwa zaidi kama Mungu huyu tunayemwabudu ndo huyu aliyefanikisha mauaji hadi ya watoto wadogo aliowaumba mwenyewe. Je, akijitokeza "Nabii" na kusema kaelekezwa na Mungu tukawaue na kuwapoteza kabisa nchi jirani yetu atakuwa sahihi kwa kuangalia hii historia?
Mambo ya CCM hayahusiki hapaInachekesha sana kama tu ilivyo CCM ya Samia.
Jomba mbona unaongea kitu kilekile? Kama Mungu anaruhusu watu wauwane kisa amekanwa basi hafai.Ukiona hivyo ujue hayo ni maneno ya watu.
Kwenye uislamu huwezi kukuta porojo kama hizo.Ikitajwa kuwaua ni wale ambao wamechokoza na kukanusha Mungu wazi wazi.Wanyama na miti hutakiwi kuvigusa.
Kinachoendelea Gaza ni sehemu ya mipango ya Rumi [Vatican],UN na Marekani.Umeona kinacho endelea Gaza ?
Kama wewe Chawa umehusika CCM inakosaje?Mambo ya CCM hayahusiki hapa