Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
wanadamu bana dahπUkimdhihaki Mungu kawaida majibu yake ni baya kwa baya na ubaya kwa Ubaya hainaga Ubwela.
Awadhi ajutie makosa yake mbingu hufunguka kwenye maombi na toba.
Chadema na vyama vingine ni watanzania wenzetu, sisi wana CCM hatuna hati miliki ya uhai wala haki ya kuishi ndani ya Tanzania.
Tanzania ni yetu sote rangi za CCM hazina hati miliki ya utanzania na akili.
Chief Wadiz
Ukimdhihaki Mungu kawaida majibu yake ni baya kwa baya na ubaya kwa Ubaya hainaga Ubwela.
Awadhi ajutie makosa yake mbingu hufunguka kwenye maombi na toba.
Chadema na vyama vingine ni watanzania wenzetu, sisi wana CCM hatuna hati miliki ya uhai wala haki ya kuishi ndani ya Tanzania.
Tanzania ni yetu sote rangi za CCM hazina hati miliki ya utanzania na akili.
Chief Wadiz
Ahahahahaha! Halafu utafikiri yeye anaijua hatima yake! Ahahahahaha!!wanadamu bana dahπ
eti anamtishia mwanadamu mwenzie kwa Mungu, utadhani ni wa kwake pekeyake π€£
tuacheni imani za kulaumu na kuwaombea watu mabaya ,kwahiyo watu wote waliokufa ni wamefanya makosa? Awadh kafanya kazi yake na ana mapungufu yake ila lazima amani ilindwe kwa nguvu zote, wafanye siasa zao kwa ustaarabuUkimdhihaki Mungu kawaida majibu yake ni baya kwa baya na ubaya kwa Ubaya hainaga Ubwela.
Awadhi ajutie makosa yake mbingu hufunguka kwenye maombi na toba.
Chadema na vyama vingine ni watanzania wenzetu, sisi wana CCM hatuna hati miliki ya uhai wala haki ya kuishi ndani ya Tanzania.
Tanzania ni yetu sote rangi za CCM hazina hati miliki ya utanzania na akili.
Chief Wadiz
Ukiwa na uchaguzi wa kuwachapa watu kumi ili mtu mmoja asife au usiwachape watu 10 mtu mmoja akifa si kitu.Ukimdhihaki Mungu kawaida majibu yake ni baya kwa baya na ubaya kwa Ubaya hainaga Ubwela.
Awadhi ajutie makosa yake mbingu hufunguka kwenye maombi na toba.
Chadema na vyama vingine ni watanzania wenzetu, sisi wana CCM hatuna hati miliki ya uhai wala haki ya kuishi ndani ya Tanzania.
Tanzania ni yetu sote rangi za CCM hazina hati miliki ya utanzania na akili.
Chief Wadiz
Mwisho wako ni kuoza na kunuka tu wewe ni maiti inayotembea ni swala la muda tuUkiwa na uchaguzi wa kuwachapa watu kumi ili mtu mmoja asife au usiwachape watu 10 mtu mmoja akifa si kitu.
Utachagua lipi hapo?
Amani ni pana siyo kwa Chadema tu,Nchimbi katoa Roadmap namna ya ku deal na wanasiasa. Awadh naye alikosa busara kwa hili.tuacheni imani za kulaumu na kuwaombea watu mabaya ,kwahiyo watu wote waliokufa ni wamefanya makosa? Awadh kafanya kazi yake na ana mapungufu yake ila lazima amani ilindwe kwa nguvu zote, wafanye siasa zao kwa ustaarabu
Nchimbi akiwa waziri wa mambo ha ndani mwangosi alitolewa utumbo na polisi kule iringaAmani ni pana siyo kwa Chadema tu,Nchimbi katoa Roadmap namna ya ku deal na wanasiasa. Awadh naye alikosa busara kwa hili.
Kweli ukimdhihaki Mungu ni ubaya ubaya tu hakuna Ubaya Ubwela πππ€£π€£π !Ukimdhihaki Mungu kawaida majibu yake ni baya kwa baya na ubaya kwa Ubaya hainaga Ubwela.
Awadhi ajutie makosa yake mbingu hufunguka kwenye maombi na toba.
Chadema na vyama vingine ni watanzania wenzetu, sisi wana CCM hatuna hati miliki ya uhai wala haki ya kuishi ndani ya Tanzania.
Tanzania ni yetu sote rangi za CCM hazina hati miliki ya utanzania na akili.
Chief Wadiz
JK akiwa Magogoni π±π€¦π½ββοΈπ³Nchimbi akiwa waziri wa mambo ha ndani mwangosi alitolewa utumbo na polisi kule iringa
Kabisa !Karma is debt don't curse anybody
Kwani nyie chadema hataenda aliko jecha au mtaishi milele?Ukimdhihaki Mungu kawaida majibu yake ni baya kwa baya na ubaya kwa Ubaya hainaga Ubwela.
Awadhi ajutie makosa yake mbingu hufunguka kwenye maombi na toba.
Chadema na vyama vingine ni watanzania wenzetu, sisi wana CCM hatuna hati miliki ya uhai wala haki ya kuishi ndani ya Tanzania.
Tanzania ni yetu sote rangi za CCM hazina hati miliki ya utanzania na akili.
Chief Wadiz
Mungu ni wa wote lakini Mungu hawezi kuwa Upande wa Muonevu , Right ?!wanadamu bana dahπ
eti anamtishia mwanadamu mwenzie kwa Mungu, utadhani ni wa kwake pekeyake π€£
Awadh kazingua sana yule na hana mwisho mwema ,si vema kufanyia wengine unyana kisa tu unataka ujipendekeze kwa mtu akuone mwema kwake. Sisi ni people awadh hakufanya uungwanawanadamu bana dahπ
eti anamtishia mwanadamu mwenzie kwa Mungu, utadhani ni wa kwake pekeyake π€£
Ni bora uishi kwa kutenda mema kwa maana hujui huko uendako kuna lipiKwani nyie chadema hataenda aliko jecha au mtaishi milele?
Ahahahahaha! Halafu utafikiri yeye anaijua hatima yake! AhahahahaH
Issue ni kwamba hamjamuelewa. Ni kwamba Awadhi alitumia nguvu kubwa kuzidi tukio lenyewe. Kama Jecha lakini Jecha alimfaidisha nani Kwa uovu ule? Na Yuko wapNi bora uishi kwa kutenda mema kwa maana hujui huko uendako kuna lipi
Mambo mema ni mtazamo wa mtu jambo linaweza kuwa jema kwako kwa wengine likawa baya ndo maana hata JPM alipokuwa anajenga SGR ,madaraja, flyover, barabara na miundo mbinu mingine chadema walipinga wakisema analeta maendeleo ya vitu na sio ya watuNi bora uishi kwa kutenda mema kwa maana hujui huko uendako kuna lipi