kimbomba25
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,160
- 2,117
Mungu wa Haki anashughulika na Jecha anamwacha aliyemtuma?
Badili fikira zako wewe mtu mweusi!
Badili fikira zako wewe mtu mweusi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una akili timamu kabisa utakuwa mtu wa ajabu kama hujui mambo memaMambo mema ni mtazamo wa mtu jambo linaweza kuwa jema kwako kwa wengine likawa baya ndo maana hata JPM alipokuwa anajenga SGR ,madaraja, flyover, barabara na miundo mbinu mingine chadema walipinga wakisema analeta maendeleo ya vitu na sio ya watu
Jambo linaweza kuwa jema kwako ndio maana chadema mlikuwa mnawakusanya vijana majobless mkafanye maandamano mbeya lakini afande Awadhi hakuona ni jambo jema akaamua kuwaadhibu na nyie kuadhibiwa mumeona sio jambo jemaKama una akili timamu kabisa utakuwa mtu wa ajabu kama hujui mambo mema
Roho itendayo dhambi ndiyo inayoadhibiwa. Aliyetuma? Mkapa Yuko wapi si alisafiri usiku kwa usiku kwenda kupindua meza. Usiwatetee CCM tunawajua. Tena huku chini ndo kabisa.Mungu wa Haki anashughulika na Jecha anamwacha aliyemtuma?
Badili fikira zako wewe mtu mweusi!
CCM ni ile ile ooh ni ile ileeehh!!!!!Nchimbi akiwa waziri wa mambo ha ndani mwangosi alitolewa utumbo na polisi kule iringa
Tulia trust imechukua zaidi ya jobless wengine Wana umri chini ya miaka 18 wanatumikishwa na mwanasheria Kwa ujira mdogo.Jambo linaweza kuwa jema kwako ndio maana chadema mlikuwa mnawakusanya vijana majobless mkafanye maandamano mbeya lakini afande Awadhi hakuona ni jambo jema akaamua kuwaadhibu na nyie kuadhibiwa mumeona sio jambo jema
nadhani ni muhimu kudeal na mwisho mzuri wako ikiwa unaujua, hukumu ya mwanadamu mwingine ni Mwenyezi Mungu pekee ndie anaijua 🐒Awadh kazingua sana yule na hana mwisho mwema ,si vema kufanyia wengine unyana kisa tu unataka ujipendekeze kwa mtu akuone mwema kwake. Sisi ni people awadh hakufanya uungwana
wema na uovu wako unaujua mwenyewe na Mungu wako, uovu na hukumu ya mwingine anahesabu Mungu pekee...Mungu ni wa wote lakini Mungu hawezi kuwa Upande wa Muonevu , Right ?!
kazi kweli kweli aise kutafuta huruma 🤣Ahahahahaha! Halafu utafikiri yeye anaijua hatima yake! Ahahahahaha!!
Kwani Jecha baada ya kufanya alichofanya, ilibidi iweje ionekane alifanikiwa kwa alichofanya na sasa imekuwaje inaonekana hajafanikiwa kwa alichofanya! Kwasababu Mimi ninachojua Jecha alitaka CCM isitoke madarakani na mpaka Sasa hivi CCM ipo madarakani! Au sio?Issue ni kwamba hamjamuelewa. Ni kwamba Awadhi alitumia nguvu kubwa kuzidi tukio lenyewe. Kama Jecha lakini Jecha alimfaidisha nani Kwa uovu ule? Na Yuko wap
Hapo umeona kutishiwa siyo?wanadamu bana dah🐒
eti anamtishia mwanadamu mwenzie kwa Mungu, utadhani ni wa kwake pekeyake 🤣
ni muhimu viongozi wa masuala ya imani wakaachiwa jukumu lao,Hapo umeona kutishiwa siyo?
Ni anakumbushwa
Ccm mna watetezi wenu wapo, na ndiyo maana mnafurahia mwananchi anapotekwa na kuuliwa, hao wasio na mtetezi wao, yupo Mungu anayeshusha nyundo kwa hao wasiothamini damu za wengineni muhimu viongozi wa masuala ya imani wakaachiwa jukumu lao,
hii kuvamia majukumu ya wengine ni shida kidogo ikiwa kuhukumu ni kukumbusha na sio kuhitimisha 🐒
Nimeona akiwafanyisha mazoezi hadharani mapolisi wake kule Mbeya kama alivyokuwa anafanya JPM ili kuwatisha wapinzani.Ukimdhihaki Mungu kawaida majibu yake ni baya kwa baya na ubaya kwa Ubaya hainaga Ubwela.
Awadhi ajutie makosa yake mbingu hufunguka kwenye maombi na toba.
Chadema na vyama vingine ni watanzania wenzetu, sisi wana CCM hatuna hati miliki ya uhai wala haki ya kuishi ndani ya Tanzania.
Tanzania ni yetu sote rangi za CCM hazina hati miliki ya utanzania na akili.
Chief Wadiz
😅🙏wema na uovu wako unaujua mwenyewe na Mungu wako, uovu na hukumu ya mwingine anahesabu Mungu pekee...
nadhani mihemko na hukumu ya mwanadamu kwa mwanadamu mwingine haina maana yoyote 🐒
Siwatetei CCM wala hawanihusu, lakini misingi ya hoja zako ni mibovu.Roho itendayo dhambi ndiyo inayoadhibiwa. Aliyetuma? Mkapa Yuko wapi si alisafiri usiku kwa usiku kwenda kupindua meza. Usiwatetee CCM tunawajua. Tena huku chini ndo kabisa.
Amuulize pascal mayala kuhusu somo la karma amweleweshe vizuri. Hii dunia siyo ya kujidai sanaUkimdhihaki Mungu kawaida majibu yake ni baya kwa baya na ubaya kwa Ubaya hainaga Ubwela.
Awadhi ajutie makosa yake mbingu hufunguka kwenye maombi na toba.
Chadema na vyama vingine ni watanzania wenzetu, sisi wana CCM hatuna hati miliki ya uhai wala haki ya kuishi ndani ya Tanzania.
Tanzania ni yetu sote rangi za CCM hazina hati miliki ya utanzania na akili.
Chief Wadiz