Kuna mtu alichukua muda wake na kukufundisha kama Mungu yupo na ukapata akili ya kupambanua hili baya na hili zuri, je angekuwa kama wewe hivyo ungejua nini kuhusu Mungu? Jina lako nalo linachangia hayo uongeayo
NI mara baada ya wao kuumwa na Majoka then ndio Musa akaambiwa atengeneze vinyoka. Nafikiri wale waliosema, "dawa ya moto ni moto" huenda walitoa hapa.Kumbuka Mussa alimtumia nyoka kama tiba kule jangwani, tena kwa maelekezo maalumu kutoka kwa Mungu
Binafsi nakubaliana na masoud mshahara hapo juu.
Wamekukosea nini watumishi wa mungu mbona unaonekana kama una chuki nao.
Hizo sheria na amri za Mungu ni zipi tena mkuu? Mbona kama unajichanganya!!
Naona unataja tu "Mungu wa kweli Mungu wa kweli" hebu tuelekeze na sie jinsi na ya kuwasiliana nae ili tujirizishe haya uliyosema isije ikawa na wewe unafanya kilekile unachopinga kuhusu wafanyavyo hao viongozi wa dini.
Ni uhuni tu wa watuSheria za asili huzijui Mkuu. Hata Biblia ikiondolewa leo, sheria za asili zipo. Usiue, usiibe, heshimu watu, usizini. Kwani hili nalo linahitaji ufafanuzi
Kwa Muktadha wa "maandiko matakatifu" nyoka mkubwa au (Joka) maana yake ni "shetani", na shetani maana yake mtu au kitu kiovu, kibaya nk.
Unadhani misikiti na makanisa yataendeshwa vipi tusipotoa zaka na sadaka?
masheikh na mapadre watakula wapi?
Thibitisha hilo mkuu
Wafanye kazi nyingine ya kuwaingizia kipato.
Wewe tangulia kuzimu kwa Mungu wako Ibilisi
Hakuna amri_Dhamira ya Mwanadamu ni amri toshaHizo amri za Mungu tunazopaswa kuzishika tutazipata wapi boss?
Huyo mungu anahitaji hayo mambo kwa sababu hayupo!Mungu tunaeaminishwa kuwa ana upendo wote,huruma yote na ni mweza wa yote angekuwepo asingehitaji huo uchafu!Kuhadhitiana kuwa mungu anahitaji vitu hivyo ambavyo ni non-sense ni uthibitisho kuwa mungu huyo hayupo!!
Kuna mtu alichukua muda wake na kukufundisha kama Mungu yupo na ukapata akili ya kupambanua hili baya na hili zuri, je angekuwa kama wewe hivyo ungejua nini kuhusu Mungu? Jina lako nalo linachangia hayo uongeayo
Basi viongozi wapunguze michango. Kuna mchango wa ujenzi, kila Jumapili upo,lakini hakuna ujenzi unao endelea. Fungu la kumi kila wiki bahasha lazima ijazwe hela, siku ya kilele bado unaambiwa utoe fungu la kumi maana huko nyuma ulikuwa unatoa kwa kujibana bana. Na vitisho vya vifungu juu .... aaaghh!!!
Tena paulo katika moja ya nyaraka zake anajitapa jinsi alivyokuwa si tegemezi kwa ndugu wa miji aliyoitembeleaWafanye kazi nyingine ya kuwaingizia kipato.