Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifungu gani?Kwenye misahafu ya dini.
Na wewe soma HESABU 21:6 kisha uniambie kwa nini Mungu amtumie shetani kwenye kazi zake ?
Nataka source ya yote Uliyoandika hapa mkuu or just from your head?Hiyo hiyo ya dini. Kwa hiyo ukienda kanisani ulidhani unamtolea Mungu sadaka Mkuu?
Na yule wa shaba ambaye musa alimkongomea mtini na kuwaamuru makutano wamkodolee macho ili wapone utatuambiaje naye ni shetani mungu...!?Sasa unakubaliana na mimi, Hesabu 21:6:-
Na bwana aliwatuma nyoka wakali miongoni mwa watu, na (hao nyoka) waliwaginga watu hao na watu wengi wakafa.
Nyoka wakali, hao ndiyo shetani, na shetani ni kitu kiovu. Na Mungu anaweza kutumia kitu kiovu kuwaadhibu Waovu, kama jinsi Adolf Hitler muovu alivyowaadhibu waisrael waovu, hapo Hitler ni kama nyoka mkali.
Sasa ndugu kama Mungu anashindwa kufanya kazi yake inabidi amtume nyoka anakuaje shetani wakati ni msaada huo kwa Mungu ?Sasa unakubaliana na mimi, Hesabu 21:6:-
Na bwana aliwatuma nyoka wakali miongoni mwa watu, na (hao nyoka) waliwaginga watu hao na watu wengi wakafa.
Nyoka wakali, hao ndiyo shetani, na shetani ni kitu kiovu. Na Mungu anaweza kutumia kitu kiovu kuwaadhibu Waovu, kama jinsi Adolf Hitler muovu alivyowaadhibu waisrael waovu, hapo Hitler ni kama nyoka mkali.
Unachosema ni kwamba nitumie hisia kumjua Mungu wa kweli?Mungu wa kweli hakuna atakayekuelekeza kwakwe. Mungu wa kweli yupo moyoni mwako.Huyo ambaye ukifanya jambo baya unajisikia vibaya msikilize huyo huyo. Tumia akili kwani Mungu ndio hutumia akili yako kujidhihirisha katika maisha yako na si akili ya mtu mwingine. Ikitokea hatari kubwa itakatayo kuhusu wewe peke yako ndipo utamjua Mungu wa kweli.
Kwani mkuu dini ni nini hasa au dini zinasimamia nini?Dini zina kila sababu ya kutimiza matakwa ya wanadamu
Hewezi kushindwa kujua kuwa ni kazi za njemba fulani wachache yenye matokeo chanya
Kwanini isiwe lazima mbona kodi tunalipa kilazima?Nayo ni moja ya huduma za kijamii acha watu watoe hela lakini isiwe lazima.
Sasa wewe na hao viongozi dini tumsikilize nani? Wewe una kipi cha kutufanya tukubali unachosema ndio sahihi na hao wengine waongo?Mimi sijakataa wao wasipewe sadaka Mkuu. Ninachokataa ni wao kusema Mungu ndiye anataka sadaka tena wameenda mbali zaidi kwa kusema fungu la kum(9zaka) ni la Mungu jambo ambalo si kweli. Tunajua umuhimu wa huduma yao lakini isiwe sababu ya wao kumsingizia Mungu eti anahitaji zaka. Tena ni lazima.
Mungu mwenye uwezo wote na mamlaka yote hayupo kwa sababu angekuwepo asingekubali kushushwa heshima na kuonekana kuwa ana shida kama unavyodai!Kitendo cha mungu huyu kushuswa heshima na kukubali kuonekana kuwa ana shida kinathibitisha kuwa mungu mwenye uwezo wote na mamlaka yote hayupo!!Mungu yupo Mkuu. Ila wajanja ndio wanamfanya asiwepo kwa kumshushia heshima na kumfanya aonekane Mungu mwenye shida, Mungu asiye na huruma ilhali anahuruma.
Mungu mwenye uwezo wote na mamlaka yote hayupo kwa sababu angekuwepo asingekubali kushushwa heshima na kuonekana kuwa ana shida kama unavyodai!Kitendo cha mungu huyu kushuswa heshima na kukubali kuonekana kuwa ana shida kinathibitisha kuwa mungu mwenye uwezo wote na mamlaka yote hayupo!!
Wengi hapa kama sio wote tunamjua Mungu kupitia hizo dini za ukristo na uislamu,hata wewe unazungumzia Mungu basi ni yule ambaye ameelezwa kutokana na mafundisho ya hizo dini.Nenda hata kwa wasiojua ukristo au Uislam uniambie wao wanaishije. Amri za Mungu ni amri za asili
Dini ni utaratibu au kanuni za maisha ajiwekeazo mtu au kikundi cha watu na kuzifuata kitamaduniKwani mkuu dini ni nini hasa
Dini zinasimamia kile kinachoaminiwa na walioiunda kwa usahihi wao na mtazamo waoau dini zinasimamia nini?
Hizo amri kutoka wapi na walizipataje?Watu waliishi kwa amri na wataendelea kuishi kwa amri popote pale walipo
hii style ya kutafsiri mistari ya biblia huwa inaniacha hoiSasa unakubaliana na mimi, Hesabu 21:6:-
Na bwana aliwatuma nyoka wakali miongoni mwa watu, na (hao nyoka) waliwaginga watu hao na watu wengi wakafa.
Nyoka wakali, hao ndiyo shetani, na shetani ni kitu kiovu. Na Mungu anaweza kutumia kitu kiovu kuwaadhibu Waovu, kama jinsi Adolf Hitler muovu alivyowaadhibu waisrael waovu, hapo Hitler ni kama nyoka mkali.
Sasa hapo mbona hakuna mahusiano ya kutokuwepo kwa Mungu na watu kumshusha heshima Mungu?Mungu mwenye uwezo wote na mamlaka yote hayupo kwa sababu angekuwepo asingekubali kushushwa heshima na kuonekana kuwa ana shida kama unavyodai!Kitendo cha mungu huyu kushuswa heshima na kukubali kuonekana kuwa ana shida kinathibitisha kuwa mungu mwenye uwezo wote na mamlaka yote hayupo!!